yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Naomba kujua, kupauka kwa rangi kuna uhusiano na uimara wa bati?Ikivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale
Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi
Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe
Mwaka wa tatu haujafika
Ila si halivuji?Ikivuka msimu mmoja wa mvua Niko pale
Kuna mmoja alipoezeka tu mvua ya kwanza ikaosha rangi
Kutoka kijana ikaja kama nyekundu saiv inaelekea kuwa nyeupe
Mwaka wa tatu haujafika
Uongo!Nawaambiaga mara zote kwenye maswala haya. Ukiona kitu kina gharama ujue hicho ni bora. Hapo bora uvute pumzi kama ulivyojiwekeza hiyo ongezea ifikie kwenye ALAF. Mengine utalia tu. Mimi ni shahidi. Bahati mbaya fundi hakunifungulia code kama ninavyokufungulia hapa.
Bati zote zinapauka rangi ila zimetofautiana muda wa kupauka.
Kwani hata ikipauka inakuzuia kupata usingizi?