Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hizo ni hujuma , lazima wapiga picha hawa watakuwa wazalendoPicha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity
Hawana mvuto.Warudie enzi zao za kubeba wasikilizaji kwa maFUSO.πππHizo ni hujuma , lazima wapiga picha hawa watakuwa wazalendo
Madogo wamepiga Travolta.John Travolta!
Wanapiga picha za waliopo mkutanoni, hao wanafunzi ndo wanaokuwa wamepelekwa kwenye mikutano Sasa unataka wapige picha za watu wazima ambao hawapo? Wawatoe wapi au unataka wafanye photoshop?Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity
Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Wanahamasisha wanafunzi DP worldPicha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.
Daah enzi za jiwe ilikuwa aibu sanaHawana mvuto.Warudie enzi zao za kubeba wasikilizaji kwa maFUSO.πππ
πSasa kama wanafunzi ndio weng ulitegemea wapigwe picha akina nan
Aibu ipi mkuu!?Daah enzi za jiwe ilikuwa aibu sana
Alibeba watu kwa matela na maloriAibu ipi mkuu!?
Unaweza kukuta hawa nao ni ccm damudamu
Mimi nakula nchi nitakuwa na stress kweli!!?Stress zako kazimalizie.huko huko ccm wauza bandari nyie
Tuwekee hapa mkuuUmeziona za CHADEMA?
Mikutano ya upinzani hujaa watu wazima na mikutano ya CCM hujazwa wanafunzi, huo ndio ukweli na baya zaidi ni viongozi wa CCM huwagawia jezi za CCM wanafunzi.Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.
Kuna mawili,ndio wanaohudhuria pekee au hujuma za ndaniPicha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.