Waliopigania uhuru wa Tanganyika Walipigana na nani?

Kina Samuel nujoma ,nyerere ,Nkrumah walipigania mafaili oficin na waingereza kupata uhuru ....nasikia viti vilinyanyuka ,Meza zilipasuliwa ......kupata uhuru japo WA bendela lakin oficin huko kulikuwa Kwa moto [emoji23]
 
ukisikia kupigania kitu fulani unaelewa nini hasa maana yake?

Kupigania kitu mpk kifanyike haimaanishi damu kumwagika..
 
Ukisikia mtu anasema anapambana na maisha unaelewa nini?
 
Uhuru wa kupewa ndio umetufikisha hapa. Mpaka 2040 nchi yote itakuwa imejaa machawa hakuna political conscious
Uhuru haijalishi umeupataje, iwe kwa kupigana ama kupewa. Kama huna akili ya jinsi ya kuutumia huo uhuru yote ni bure, kilichotufikisha hapa ni matokeo ya kuwa na akili ndogo na si kisa uhuru wa kupewa.
 
Ujinga, ujinga, ujinga!
Uko bize kupigania kueneza ujinga wako!
 
Ujinga, ujinga, ujinga!
Uko bize kupigania kueneza ujinga wako!
 
Sio sahi kusema Tanganyika walipigania uhuru
 
Ukraine ndio wanapigania uhuru wa Taifa lao kutoka makucha ya dubu Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…