Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Kwa nini mnalumbana?Si kila mtu atakufa huko mbele ya safari ataenda kuona mwenyewe.Wasioamini Mungu yupo watajua kama yupo au hayupo,Utaweza kumuona Yesu,Malaika na watakatifu wote huko utajua sura zao kama ni hizi au la.La muhimu usikashifu namna/utaratibu wa kusali wa wengine Iwe Mkristo,Mlutheri,Msabato,Mlokole nk kwa sababu utatenda sana dhambi kukashifu mambo ambayo huyafahamu kwa kina.Unaweza kufikiri dini fulani naifahamu sababu naonaga tu namna wanavyosali au kanisa lao lilivyo,kumbe unakuta unajua tone kati ya bahari.Anayeungama kwa Padri aungame kikamilifu,anaueungama nafsini aungame kikamilifu.Wanaotumia picha,sanamu navyo pia viheshimiwe.Usisumbuke utakufa na ukweli utaujua huko mbeleni
 
Lakini sasa hii picha mkono wa kulia mbona kaweka ishara ya illuminati?
 
kama unasoma Biblia huwez sema wenye akili walikuwa wawili ukawataja hao afu unasea tangu dunia kuumbwa afu unawaacha mfalme sulemani na Danieli.....kingne imani hujankwa kusikia na sio kwa kuona picha ya huyo mlevi hapo juu
 
Picha hiyo ya Yesu sio Ile aliypigiza Brian Deacon. Yake ina sura inatofaitiana ingawa inaelekeana Kwa namna fulani. Ile aliyoigiza Brian Deacon picha take ni hii
 
endeleeni tu kuabudu sanamu
lete utetezi wa ile ya bikra Mariamu na mtoto,ambayo ni ilikuwepo miaka na miaka hata kabla yesu kuzaliwa
baadae mkaitohoa kuwa na ya bikra na mwanae
 
Haupo sahihi kabisa, 1. je Yesu alikua mzungu au mwarabu? 2. Hujawahi kufikiria kwamba yesu alikua na Ngozi nyeusi? 3.jiulize kwa nn Yesu alizaliwa Jerusalem na ukristo ulianzia hapo lkm kwa nn sasaiv makao makuu yapi Ulaya? je kuna nabii mzungu?. Ingia chimbo na ufanye utafiti upya
 
I second you. You make more sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…