Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Sina dini, Nina IMANI ktk YESU kristo.

Wasabato hawaamini juu ya Roho MTAKATIFU na kunena Kwa lugha ambazo zipo kibiblia.

Wamefungwa hapo, Kutokumwamini Roho wa YESU ni sawa na kutomwamini Yesu.

Dini hazipo kumpeleka mwanadamu Mbinguni Bali kuzimu,

Yesu ni zaidi ya dini. Tuongee naye kupitia Roho wake na kusoma neno tutaijua Kweli.

1681797724282.png
 
Good question.

According to Hegelian Dialectic: ^thesis^ na ^antithesis^ huwa na synthesis yake ambayo ni compromise za components zake.

Therefore, Romanism + Christianity = Paganism or Catholicism
Duh.
 
View attachment 2591690
Wasabato hawaamini juu ya kujazwa Roho mtakatifu na kunena Kwa lugha.

Hawaamini uwezo wa ROHO mtakatifu kuongea kupitia kinywa Cha Nabii kutabiri.

Wamempa Mungu mpaka.

Hata kufufuka Kwa Yesu hawaadhimishi, wao BADO Wana sikuukuu za vibanda za wayahudi.

Dini ya Kweli ni kuacha DHAMBI na kufuata SHERIA ya Mungu

Sheria kuu ni Upendo.

Mungu hakai tena HEKALUNI, Anaishi ndani ya moyo wa Aaminiye.

Mwili ndilo HEKALU la Mungu.

Amen
 
Kama Yesu angekuwa maarufu na anayejulikana Yuda asingewaambia hao maaskari maneno hayo.
Kuwa maarufu haina maana kwamba kila mtu anaijua sura yako. Unaweza kuwa maarufu kwa vile watu wanazijua habari zako.

Socrates na Plato na Aristotle ni maarufu? Ndiyo. Kama wangejitokeza leo, unaweza kuwatambua sura zao?

Kumbuka pia kwamba kwa mtu wa nje (Warumi, Wayunani, etc), Wayahudi walionekana kufanana wote. Ni kama vile aghalabu tunavyowaona Wachina ama Wazungu.

Kama Yesu angekuwa mashuhuri na maarufu wala asingewapa Wanafunzi wake Misheni ya kumtangaza yeye na habari zake.
Hadi Yesu anaangikwa msalabani na kufufuka, hatimaye akapaa mbinguni (33 AD), alifahamika vyema katika Uyahudi wote na maeneo mengi ya Rumi na kwingineko habari zilifika kumhusu.

Usisahau kwamba Mamajusi ama wenye hekima kutoka Mashariki walifunga safari umbali wa maili nyingi hadi Bethlehemu ili kumwona na kumwabudu akingali mdogo sana (around 2 years). Huo si umaarufu?

Waliporudi kwao unadhani walikaa kimya?

NB: Sikubaliani kabisa na dhana almost zote za Da'Vinci kuhusu mchoro wa sura ya Yesu.
 
Wasabato hawaamini juu ya kujazwa Roho mtakatifu na kunena Kwa lugha.

Hawaamini uwezo wa ROHO mtakatifu kuongea kupitia kinywa Cha Nabii kutabiri.

Wamempa Mungu mpaka.

Hata kufufuka Kwa Yesu hawaadhimishi, wao BADO Wana sikuukuu za vibanda za wayahudi.

Dini ya Kweli ni kuacha DHAMBI na kufuata SHERIA ya Mungu

Sheria kuu ni Upendo.

Mungu hakai tena HEKALUNI, Anaishi ndani ya moyo wa Aaminiye.

Mwili ndilo HEKALU la Mungu.

Amen
Umejibu kishabiki sana. Jamaa aliposema kwamba wao hawaamini katika Roho Mtakatifu, ndipo nikaenda kwenye websaiti niliyoiweka hapo.

Kila kitu unachosema kwamba hawaamini, ni kinyume chake ukipitia hapo.

Kumbuka usimshuhudie jirani yako uongo. Nadhani unatumia nadharia zaidi kuliko facts.

Soma ili upate maarifa. Usidhani kwamba utaaminika zaidi kwa kutumia lugha ya mhemko na kuhitimisha kwa neno ^Amen!^
 
Imani na dini ni kama atom na molecule. Atom mbili za oksijeni huunda molekyuli moja ya oksijeni. Kadhalika imani fulani kuhusu umizimu huunda dini ya umizimu. Imani ya Ukristo huunda dini ya Ukristo.

Imani na dini ni sawa na pande mbili za sarafu moja. Simply put, they're inseparable -- haviwezi kutenganishwa.
Ni Kweli Imani na DINI ni kama vinaendana bt Si kitu kimoja.

Mtu aliye mbali pasipo na DINI yoyote anaweza kuamini na kufanya IBADA bila dini yoyote.

Tafsiri ya Dini imebadilishwa na haitimizi mapenzi ya Mungu,

Dini ni kujali maskini na wagonjwa na kuonyeshana Upendo.

Tafsiri ya Dini sasa ni kusajili dhehebu Serikalini na kujenga majengo, maskini wanaachwa wakihangaika.

Dini zinabanwa hazikemei Serikali zisiwakandamize raia,

Dini zinaogopa kukemea viongozi Serikalini Wala RUSHWA kuogopa kufutiwa usajili.

Yohana Mbatizaji Nabii alikuwa anaishi porini na hakuwa na DINI yoyote bt alikuwa na Imani na alikuwa Nabii wa Mungu 100%

Yohana alimkemea mfalme live aache UZINZI Kwa Kumuona mke wa ndugu yake, jambo ambalo viongozi wa dini za wayahudi walilifumbia macho.

Yohana aliwakemea maaskari waziwazi wasipokee RUSHWA, bt dini za saizi huwezi kuwasikia wakikemea dhambi.

Mungu ni Mungu, Hana urafiki na dhambi hata kama zinafanywa na viongozi wa sirikali.
 
Umejibu kishabiki sana. Jamaa aliposema kwamba wao hawaamini katika Roho Mtakatifu, ndipo nikaenda kwenye websaiti niliyoiweka hapo.

Kila kitu unachosema kwamba hawaamini, ni kinyume chake ukipitia hapo.

Kumbuka usimshuhudie jirani yako uongo. Nadhani unatumia nadharia zaidi kuliko facts.

Soma ili upate maarifa. Usidhani kwamba utaaminika zaidi kwa kutumia lugha ya mhemko na kuhitimisha kwa neno ^Amen!^
Wasabato ni wapinga kristo, Mungu hawatambui.

Mungu anakwenda kuzivuruga dini zote na kuanzisha KANISA aliloliacha kabla hajapaa kurudi Mbinguni.

Sabatow na catolica wanaokufa na kwenda kuzimu Kwa maelfu Kwa Sababu ya kuabudu ktk dini hizo.

UKWELI ni mchungu always.

Yesu aliuwawa na watu wa dini wayahudi.
 
Binafsi nalisikia jina la mwamposa kwa Sura simjui. Je mwamposa sio maarufu?

Kwa zamani ili umfahamu mtu njia pekee ni kumuona kwa kutumia macho yako.
Mtu mwenye uwezo wa kukusanya watu zaidi ya 10k ( wanaume 5k walikula mkate na samaki) kwa pamoja sio maarufu huyo?
Haijalishi alikuwa maarufu kwa watu wa aina gani ( masikini kwa wingi) ila alikuwa maarufu.
Hakuwa maarufu Kwa ngazi ya kitaifa na kimataifa.

Zingatia huyo Yesu Route yake ilianzia wapi na kuishi wapi.
Zingatia pia hakuwa mwenyeji wa Jerusalem, ndio alikuwa amefika, hakuwa na muda mrefu wa kufahamika.
NAS Mark 6:14 ^And King Herod heard of it, for His name had become well known; and people were saying, John the Baptist has risen from the dead, and that is why these miraculous powers are at work in Him.^
 
Mtu asiye maarufu Ngazi za kitaifa habari zake zinafikaje kwa wakuu wa Nchi?
Herode alimjua Yesu ( au alisikia habari za yesu) kabla ya Yesu kupelekwa kwake?
Mtu ambaye habari zake zimefika mpaka Chemba za watawala unasemaje sio maarufu?
NAS Luke 23:8 Now Herod was very glad when he saw Jesus; for he had wanted to see Him for a long time, because he had been hearing about Him and was hoping to see some sign performed by Him.
 
Umejibu kishabiki sana. Jamaa aliposema kwamba wao hawaamini katika Roho Mtakatifu, ndipo nikaenda kwenye websaiti niliyoiweka hapo.

Kila kitu unachosema kwamba hawaamini, ni kinyume chake ukipitia hapo.

Kumbuka usimshuhudie jirani yako uongo. Nadhani unatumia nadharia zaidi kuliko facts.

Soma ili upate maarifa. Usidhani kwamba utaaminika zaidi kwa kutumia lugha ya mhemko na kuhitimisha kwa neno ^Amen!^
Siko JF kutafuta umaarufu,

Nipo Kwa KAZI maalum from above all kingdoms and principalities.

Nionyenye thread niliyowahi andika JF ikiwa natafuta umaarufu.
 
Ni Kweli Imani na DINI ni kama vinaendana bt Si kitu kimoja.

Mtu aliye mbali pasipo na DINI yoyote anaweza kuamini na kufanya IBADA bila dini yoyote.

Tafsiri ya Dini imebadilishwa na haitimizi mapenzi ya Mungu,

Dini ni kujali maskini na wagonjwa na kuonyeshana Upendo.

Tafsiri ya Dini sasa ni kusajili dhehebu Serikalini na kujenga majengo, maskini wanaachwa wakihangaika.

Dini zinabanwa hazikemei Serikali zisiwakandamize raia,

Dini zinaogopa kukemea viongozi Serikalini Wala RUSHWA kuogopa kufutiwa usajili.

Yohana Mbatizaji Nabii alikuwa anaishi porini na hakuwa na DINI yoyote bt alikuwa na Imani na alikuwa Nabii wa Mungu 100%

Yohana alimkemea mfalme live aache UZINZI Kwa Kumuona mke wa ndugu yake, jambo ambalo viongozi wa dini za wayahudi walilifumbia macho.

Yohana aliwakemea maaskari waziwazi wasipokee RUSHWA, bt dini za saizi huwezi kuwasikia wakikemea dhambi.

Mungu ni Mungu, Hana urafiki na dhambi hata kama zinafanywa na viongozi wa sirikali.
Umeona sasa? Hapo huongelei DINI, bali unawazungumzia watu wanaoifuata dini. Ni kosa kuuchukia Ukristo eti kwa vile tu baadhi ya waumini wake wanatenda ndivyo sivyo kinyume na imani ya Ukristo. Hiyo ni akili finyu na kukosa imani.

Again, dini na imani ni misingi miwili isiyoweza kutenganishwa.

Kama ambavyo kuna dini ovu, vilevile kuna imani potofu. Pia, kuna imani sahihi katika dini ya kweli.

Mtu anayedai kwamba hana dini, ila ana imani ni mwongo; wala hajui maana ya dhana hizi mbili.
 
Umeona sasa? Hapo hauongelei DINI, bali watu wanaoifuata dini. Ni kosa kuuchukia Ukristo eti kwa vile baadhi ya waumini wake wanatenda ndivyo sivyo kinyume na imani ya Ukristo. Hiyo ni akili finyu na kukosa imani.

Again, dini na imani ni misingi miwili isiyoweza kutenganishwa.

Kama ambavyo kuna dini ovu, vilevile kuna imani potofu. Pia, kuna imani sahihi na dini ya kweli.
Nitajie dini sahihi duniani Kwa maana ya Taasisi zilizosajiliwa inayowapeleka watu wake Mbinguni direct kama utaipata hata moja.!!!
 
I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence]
View attachment 2545863
Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja mzungu kua “ndie” yesu, je hiyo picha ni ya Yesu kweli? Akaongeza kwa kusema kwamba wakati yesu akiwepo kulikua hakuna teknolojia ya Photography wala Motion Picture…So wao waliitoa wapi picha hiyo na wana ushashidi upi kwamba yule ndio Yesu mwenyewe??

I’m glad you asked coz I would like to use this moment to Splendid Explain these stuffs to you!

Toka dunia kuumbwa, dunia imeshuhudia kuzaliwa kwa watu wawili wenye akili zaidi.watu hao walikua wenye uwezo wa kujifunza mambo wao wenyewe yaani Autodidacts na walikua wana uelewa na uwezo wa kufanya mambo meengi kwa wakati mmoja yaani Polymaths…watu hao si wengine bali ni Imhotep kutoka Misri ya zamani (Ancient Egypt) na Leonardo Da’Vinci kutoka Sicily Rome.

Imhotep alikuwepo duniani Zaidi ya miaka 5000 kabla ya kuzaliwa kwa Da’Vinci, Da’Vinci kazaliwa miaka 600 iliyopita yaani 1400s.Imhotep alikua kuhani mkuu wa mungu mkuu wa wamisri aitwaye mungu jua Ra, mbali na hayo jamaa alikua mbobevu katika hesabu,fizikia na biology hivyo alijikita sana katika usanifu wa majengo na tiba mbalimbali. Ukiziona Pyramids zilizopo misri wala usidanganyike kua alien ndio wamejenga bali ni huyu Inhotep ndio alizisanifu.

Wagiriki walimuabudu huyu mtu kama mungu wao wa tiba kutokana na mchango wake mkubwa katika tafiti zake zi kitabibu.

Kwa waliosoma mada zangu kadhaa zilizopita nilielezea jinsi utawala wa Ugiriki ulivyotokea na kuanguka na matokeo yaliyotokea baada ya ugiriki kuanguka. Kwa ambao hawajasoma nitaelezea kwa ufupi sana nini kilitokea.
Miaka ya nyuma ugiriki ya zamani ilikua imeundwa na miji ipatayo 100 na kila mji na ulikua na utawala wake japo walikua wakiungana na kusaidiana pindi uvamizi unapotokea, enzi hizo superpower wa dunia alikua Persia yaani Iran ya sasa. Iran ilikua inajitanua kwa kuvamia maeneo na kuyachukua hapo ndio alipoikaribia Ugiriki akitaka aanze kuchukua mji baaada ya mji, hapo ndio unakutana kisa cha mfalme Leonidas wa jiji la Sparta.

Vumbi ilitimka kweli kwa wapenzi wa muvi waliotazama muvi ya 300 na 300 Rise of Empire wanaelewa.
Baada ya vamizi kadhaa zilizokua zinafanywa na nchi kubwakubwa wagiriki wakaamua kuungana na kutengeneza nchi moja ya Greece. Mikaka ikaenda akatokea alexander the great akaikuza sana Greek, akaanzisha mji wake ulioitwa Alexandria katika nchi ya Misri. Kipindi hicho misri ilikua ndio hazina na kitovu cha Elimu dunia nzima.
View attachment 2545869
[Mwigizaji Gerald Butler aliyeigiza kama mfalam Leonidas wa sparta kutoka muvi ya ]

Wanafalsafa wengi na walienda hapo kusomea, hata mwandishi wa injili Luka alisomea hapo. Miaka ikaenda baada ya Ugiriki kuanguka Superpower aliyeibuka akawa Rome, Rome ilienda kuchukua kila kitu kilichokua misri wakakihamishia kwao. Maarifa yote yaliyokua Misri kwenye Maktaba ya kwanza kuanzishwa duniani yalihamishiwa Rumi.

Wakati nchi ya Israel ikitawaliwa na Rumi anazaliwa Yesu anafanya kilichomleta duniani kisha anafariki miaka 33 baadae, wafuasi wa Yesu wanaongenzeka na kupata ushawishi mkubwa katika serikali na maeneo mengi duniani.

Kwa wanaopenda Conspiracy, inasemaekana baada ya utawala wa Rumi duniani kuanza kuanguka watu wenye kufikiria mbali (futurist) wakiongozwa na mfalme Nero walikabidhi madaraka kwa wafuasi wa Yesu Kristo wa kipindi hicho ili Rumi iendelee kutawala dunia kupitia mlango wa nyuma (indirectly) ndipo ukristo ukatambuliko rasmi duniani kama Roman Catholic na wakapafanya Rumi kama ndio makao makuu ya Ukristo badala ya Yesrusalemu. (Sina uhakika kama nadharia hii ina ukweli ndani yake ila ina make sense sana maana wote twafahamu nguvu na ushawishi iliyonayo RC katika mataifa mbalimbali)

Miaka kadhaa tawala ya Rumi inaanguka, Ukatoliki ukawa umeenea maeneo mengi na ushawishi mkubwa ulimwenguni anazaliwa Leonardo Da’Vinci 1452, kutokana na uwezo mkubwa katika mambo mbalimbali kila alichokifanya kiliweza kua Perfecto. Davinci aliweza kuifanya tasnia ya uchoraji kua kubwa na yenye thamani sana kutokana na kazi zake bora na zenye kufikirisha za uchoraji.

Ni moja kat ya wachoraji wakubwa kuwahi ktokea hapa duniani kuna vitu kachora hakuna mwingine anayeweza kuchora labda urumie Powerful software…kama utanibishia jaribu kuchora duara na pembe nne vikiwa pamoja kama alivyochora mchoro wake wa Vitruvian man… Jamaa alikua anaweza kujichora yeye mwenyewe sura yake…Baadae anazaliwa Michelangelo ambae na kwa kiasi Fulani alijitahidi sana katika uchoroja unaweza kujionea michoro yake ya Sistine Chapel iliyopo hapo Vatican, lakini pia nae alibobea katika uchonganji (sculptures)
View attachment 2545902
[Sistine Chapel]
Inahusiana vipi na Picha ya Yesu…?

Kama nilivyoeleza huko juu Baada ya Ugiriki na Misri kuanguka na Rumi kuibuka kama Superpower alibeba maarifa yote yaliyokua Rumi na Ugiriki na kuyahamishia Roma, hivyo baada ya rumi kuanguka kanisa katoliki likabaki limeshikilia maarifa kutoka pande zote za dunia hasa misri,ugiriki na Israel. Leo hii hakuna taarifa au maarifa ambayo hayapo Vatican…Vatican inamiliki moja kati ya eneo lenye kulindwa Zaidi duniani ambalo hua haiingii huko mtu bila ruhusu maalumu…Hata Pope inabidi apate kibali kutoka kwa kiongozi wa Jesuists ndio anaweza kwenda huko.

Hivyo basi sidhani kwamba kanisa katopliki wanaweza kua wameshindwa kupata piacha ya yesu wakati wameweza kumiliki taaroifa za kutoka kila pande ya dunia. Kama Plato,Socrate, nk picha zao zipo na waliishi miaka mingikabla ya yesu haiwezekani yeye picha yake isiweze kupatikana.

Nimesema kipindi hicho taaluma ya uchoraji na uchongaji ilitumika Zaidi katika kuweka kumbukumbu za watu mbalimbali ndio maana leo ukiitaka picha ya Plato unaipata, kuna watu wamejaliwa uwezo mkubwa wa uchoraji unaweza kumuelezea kwamba Fulani sura yake ipo hivi na hivi na akaichora kama ilivyo. Njia hii hutumiwa sana na mashirika ya usalama hususan FBI na polisi. Tena sasa hivi kuna msaada wa softwares yaani ukimuelezea mtu anakutulea mchoro kama picha halisi…hivyo basi natumaini hata picha ya yesu watu wa zamani walitumia njia hiyo kuhifadhi taswira ya Kristo.

Ndio maana utakuta picha hiyo inayotumika sura yake ipo mahali pote sio tofauti. Hata miaka ya 1970s wakati wanaandaa filamu ya yesu walijaribu watu Zaidi ya waigizaji 200 ambao watafanana na Sura hiyohiyo ni Brian Deacon pekee ndio alifanikiwa kufit kwenye role hiyo kutokana na sura yake kufanana na sura inayotumika kuwasilisha taswira ya Kristo.
Ndio maana wasiojua wanapoona hiyo taswira ya yesu hua wanasema kwamba ni sura ya mwigizaji Brian Deacon…Si kweli, kwa maarifa waliyonayo RC hawawezi ruhusu hilo.

So kwa kuhitimisha ni kwamba Wakatoliki kukubali kuruhusu picha hiyo ya Yesu kutumika sio wajinga hata kidogo kwamba hawafahamu taswira halisi ya Kristo.
Uzi mzuri sana. Safi [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nitajie dini sahihi duniani Kwa maana ya Taasisi zilizosajiliwa inayowapeleka watu wake Mbinguni direct kama utaipata hata moja.!!!
NAS Luke 23:8 Now Herod was very glad when he saw Jesus; for he had wanted to see Him for a long time, because he had been hearing about Him and was hoping to see some sign performed by Him.
Wabishi mmekutana mm natazama mpambano tu. Huku msabato huku shahidi JW sijui
 
Wabishi mmekutana mm natazama mpambano tu. Huku msabato huku shahidi JW sijui
Narudia Sina dini iliyosajiliwa na mifumo ya WANADAMU.

HEKALU ni MWILI wangu, Yesu Mungu anaishi ndani yangu.

Madhabahu ni MOYO wangu,

KANISA ni Mimi mwenyewe, Kanisa Si Jengo, Bali aaminiye.

Mungu nimwaminiye ni mmoja na Jina lake ni YESU kristo wa Nazareth.

Yesu alienda kwenye Dini hizo hawakumwelewa, wakamwuua.

Dini yangu ni Ile ya YOHANA Mbatizaji. Ni kusema Kweli ya Mungu bila Kona bila kuungana makundi ya wezi chini ya mwamvuli wa dini.
 
Wapi nimesema unatafuta umaarufu? Mie nimesema umejibu ^kishabiki.^ Maana yake ni kwamba huzingatii facts, bali hisia ya mambo ambayo kimsingi hayapo.

Mimi nimekuwekea facts za websaiti, ila ungali ukibishi. Hiyo inaitwaje kama siyo ushabiki, mhemko na kushuhudia uongo? Pole sana. Huenda hata hujui unachoandika katika hiyo ^kazi yako maalum from above.^

1681803080967.png
 
Nitajie dini sahihi duniani Kwa maana ya Taasisi zilizosajiliwa inayowapeleka watu wake Mbinguni direct kama utaipata hata moja.!!!
FYI: Hakuna mahali popote kwenye Maandiko ambapo hufundisha kwamba dini ama imani huwapeleka ^watu mbinguni direct.^

Badala yake Biblia imetuagiza kuwafundisha wote kuyashika yaliyomo, kuwafanya watu wawe wanafunzi.

Ndipo hatimaye, ^sote tutabadilika, kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu.^ 1 Corinthians 15:51-53
 
Siko kubishana nawe,

Umeshindwa kunitajia Dini sahihi iliyosajiliwa kimfumo ambayo mtu akiabudu humo, anapata ticket ya Mbinguni.

Narudia, Mashahidi wa Y... , Sabatotiw, catholiano , Anglicobe, Lutari, Islamee nk nk ni Dini za wapinga kristo.

Waumini wa dini hizo wanaenda kuzimu Kwa maelfu daily wanapofariki.

Mungu YESU, atavumisha upepo soon na kuzivuruga dini hizo zote Ili alirudishe KANISA lile aliloliacha kabla hajapaa Mbinguni.

Amen.
 
Yohana 8:58 ^Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, Mimi Niko.^

Also:
Kutoka 3:14
Mkuu elewa kiswahili,

Yesu amesema mimi ndie Mungu niabudini mimi tu,

Staki kujua kasema mimi nipo kabla ya ibrahimu na pia akisema hivyo bado andiko ni finyu kama maandiko mengine
 
Back
Top Bottom