Unachosema kwa Iman yako ni sawa
Lakn Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa nawala hafanan na kitu chochote.
Imani Yako ni Ipi.
Imetafsiri nn kuhusu "Messiah"?
Ktk maisha ya Ibrahim, Mungu amewahi kuja kwake amevaa mwili wa mtu 2times,
Alikuja kama Mfalme wa Salem, na aliitwa "Melkizedek" na alikuwa KUHANI pia, na Ibrahim alimtolea sadaka.
Mungu pia alikuja ktk mwonekano ya mwanadamu ukisoma aliposhuka kwenda kuichoma Sodoma na Gomora,walionekana watu watatu.
Mmoja kati Yao alikuwa Mungu mwenyewe na wawili walikuwa Malaika zake.
BIBLIA pia imeandika juu ya shetani kabisa kuja duniani na akawa mfalme wa TIRO, alikuwa mtu kabisa.
ROHO inaweza kuvaa umbo lolote, Pepo anaweza kuonekana kama mnyama, au kitu Cha thamani nk nk.
Mungu ni ROHO, mwili haiwezi mwona Mungu ktk macho ya MWILI Bali ktk ROHO.
Ndomana YESU alisema aliyeniona Mimi, amemwona Mungu sababu alikuja ktk umbo la mtu.
Kwa AKILI za mwanadamu huwezi kumjua Mungu, labda apende kujifunua.
Unasema Mungu haonekani, Adam na EVE Bustani ya EDEN walimwona na kuongea naye live.
Hata sasa, Mungu Tunaongelea naye na kumwona ktk Roho, inategemea ameamua kujifunua au kuonekana ktk form ipi.