Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

Rest in Heaven my scientist
Leornardo da Vinci
Huyu hana wa kumfananisha nae hii dunia alikuwa mwamba kweli kweli
Tufungue kanisa basi wewe mchungaji Mimi mweka hazina maana uyo leonardo da vinci nikama mungu kwako?? Khaaa
 
Naamini Mungu, Roho mtakatifu ambaye ni Roho wa Yesu Yupo bt siamini Ktk kumgawa Mungu Ktk nafsi tatu.

Mungu ni MMOJA ana nafsi Moja. Alipokuja Ktk mwili Bado Alikuwa Mungu yule yule Ktk mwili, na anapoact Ktk mwonekano wa Roho mtakatifu, ni Mungu yule yule.

Mungu ni Jina la office ya Mungu, bt Jina lake halisi tulopewa WANADAMU tumtambue, tumwamini na kumwita Anaitwa YESU KRISTO wa Nazareti.

Amen
Mkuu ni nani aliwaambia mitume kwamba "Huyu (Yesu) ni mwanangu mpendwa niliyependezwa nae msikilizeni"?
 
Tufungue kanisa basi wewe mchungaji Mimi mweka hazina maana uyo leonardo da vinci nikama mungu kwako?? Khaaa
Unaweza kunena kwa lugha uwe mama mchungaji??
 
Mkuu ni nani aliwaambia mitume kwamba "Huyu (Yesu) ni mwanangu mpendwa niliyependezwa nae msikilizeni"?
Mungu yule yule aliye enzini ndiye huyo aliyekuwa ktk mwili Kwa KAZI ya Ukombozi.

Mungu alikuja ktk mwili Ili Ulimwengu ukombolewe kupitia Mungu ktk mwili YESU kristo.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Ukitumia akili zako za darasani kamwe hutomwelewa Mungu. Mungu ana NAFSI moja na anaweza kuwapo everywhere at once.

So, usishangae Mungu kuongea akiwa Mbinguni akiwaelekeza watu kumwamini Yesu. Mungu ni yule yule mmoja NAFSI moja. Anaweza chukua forms mbalimbali, Hana mipaka, ni juu ya yote, anaweza yote.

Amen
 
Mkuu kwa heshima kabisa sikubaliani na fikra yako kwasababu zifuatazo;

Yesu wakati wa uhai wake hakuwa mtu maarufu bali umaarufu wake umekuja miaka mingi baada ya yeye kufariki na habari zake kutangazwa. Sasa kama hakuwa maarufu ni wazi watu walimpuuzia ndio maana hata wakamuua kama waalifu wengine.

Ilihitajika awe mtu maarufu ndipo kumbukumbu zake ziwepo kwa watawala hasa picha sababu alitakiwa kulipia achorwe, kumbukumbu za Yesu zilizopo ni stori za mambo aliyofanya. Ni sawa na stori za babu wa machifu kabla ya kuja mkoloni kamwe hutaona picha zao bali stori tu.

Angalau kwa Mtume Mohammed yeye alieneza dini ya uislamu, ingekuwa rahisi sana kwa picha za Mtume kuwepo sababu yeye ndio mtu aliyekuwa nyuma ya uislamu tofauti na Yesu ambaye hata Ukristo wenyewe hakuuhubiri sababu yeye alikuwa myahudi na alitumwa kwao wayahudi.

Hii picha ni dhana tu au ndoto za wanadamu wa kipindi cha utambuko wakaamua kuileta tuitumie.

Jambo lingine ni uvaaji, huo uvaaji sio wa miaka hiyo watu wa zamani naweza kusema walikuwa rafu sana kuanzia nywele kichwani, ndevu zao hadi mavazi sasa yeye ilikuwaje akawa smart hivyo?, wakati alikuwa ni mtoto wa seremala tu? Mfano mzuri ni vikkings angalia walivyokuwa rafu na miaka waliyoishi ndio sembuse Yesu aliyeishi 2000 nyuma?.

Tubaki tu na imani ila hakuna uhalisia hapo.
Sijui kama unajua hata unachokiongea eti wakati wa Yesu hata ukristo haukuwepo wqla hakuubiri.Nadhani unaadikq hukunumelewa au umejidungq nusukaputi.Au akili yako umeifanyia brain wash kwa muda
Hivi unafahamu maana ya Ukristo au Christianity ni nini.
Ni sawa na kusema Watanzania hawakuwepo wakati Tanzania ipo.Wa kristo kirahisi sana wanaomfuata Kristo sasa itakuwaje ukristo uwe haupo wqkati wanaomfuata Kristo wapo na Kristo mwenyewe yupo.
 
Comment ndefu sana
Na pumbA nyingi sana
Hakuwa maarufu:- Alilisha raiya 5000+ ke na watoto hawakuesabiwa
Madrasa wanafundisha ukristo haukuhubiriwa na Yesu ila hawajui ukristo ni nini!
.....angalia viking[emoji15][emoji15][emoji15]
NDUGU WEWE NI BOGA!
 
Sijui kama unajua hata unachokiongea eti wakati wa Yesu hata ukristo haukuwepo wqla hakuubiri.Nadhani unaadikq hukunumelewa au umejidungq nusukaputi.Au akili yako umeifanyia brain wash kwa muda
Hivi unafahamu maana ya Ukristo au Christianity ni nini.
Ni sawa na kusema Watanzania hawakuwepo wakati Tanzania ipo.Wa kristo kirahisi sana wanaomfuata Kristo sasa itakuwaje ukristo uwe haupo wqkati wanaomfuata Kristo wapo na Kristo mwenyewe yupo.
Argument ya huyu mwenzetu imenishangaza sana. Na waliomuunga mkono.
 
Inawezekana walimpuuzia ila wale waliomfuata hawakumpuuzia. Ndio maana utaona miaka kadhaa kabla ya 100 baada ya kifo chake Wanazuoni kadhaa walifanya tafiti juu ya maisha yake na matendo yake. Kupitia wao tukapata vitabu mbalimbali vya injili vilivyo kwenye Bible na Marejea mbalimbali

Kuchorwa kwake inawezekana ilikua organised na wafuasi wake sitaki kuamini kama walikosa pesa za kulipa wafuasi. I concur kipindi hiko taifa lake lilikua halimtambui kabisa

Unamaanisha nini kusema Yesu hakuuhubiri Ukristo? Au kwa kumaanisha Mwenyewe ndio alikua Kristo??

Viking walikua Savages, huwezi kufananisha vikings na watu wa mataifa mengine ndio maana walikua rafurafu.
Mwenyewe Kristo alisema kwa wafuasi wake kwamba Wakiondoka wachukue nguo mojamoja maana huko waendako watavishwa na kulishwa. So inawezekana hata yeue alivishwa kumbuka walikua na mfuko wao maalumu wa kuhifadhi pesa za mahitaji ambazo zilitoka kwa waamini
mtafute mtu anaitwa simon kimbangu (google),huyu mtu habari zake,utakuja niambia
 
Nani asiyejua kwamba linapokuja suala la sanamu na juhudi za kuziabudu, Ukatoliki uko makini sana and they leave no stone unturned in defending and keeping them, whatever the cost?

Any reasonable person will agree with me that Catholicism is The Great Old Deceiver & The Mother of Deception.
 
Hili inaaminima hivyo ila sikutaka kuligusia maana lipo zaidi kiimani kuliko kiFact
Kwamba imani SIYO facts?

Nakukumbusha kwamba kinyume cha fact ni fiction (= untruth, habari za kubuniwa, uongo).

Kwa mantiki hiyo, unathibitisha kwamba hizo habari kuhusu the so-called ^kitambaa^ (plus mchoro husika) ni uongo. And you're right. Continue exposing lies. Thank you!
 
Muunganiko wa Rumi na Ukristo uliozaa roman catholic haukuufuta ukristo? Nn kilimmeza mwenzake? Nn kilibadilika? Ukristo ulifanana vp kabla ya ukatoliki? Vitu viwili vinapoungana kitu kipya huzaliwa.
Good question.

According to Hegelian Dialectic: ^thesis^ na ^antithesis^ huwa na synthesis yake ambayo ni compromise za components husika.

Therefore, Romanism + Christianity = Paganism or Catholicism
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ile maktaba pale Vatican ina siri nyingi ambazo bado walimwengu hawajazijua na hawatozijua
Asante sana kwa kufafanua unabii wa Ufunuo 17

^Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.^
 
mimi sio mkatoliki wala msabato lakini nakataa hakuna ambae anajua kama yuko sahihi au laah tutaona tu siku ya mwisho Yesu atatumia kigezo gani kuchukua watu wake matendo au dini
Mpaka ungoje hadi kiama, utakuwa umechelewa kabisa. Soma Biblia, acha uvivu. Wanadamu wataingia mbinguni kwa sababu ya neema ya Kristo Yesu inayowawezesha kutenda matendo mema, ya haki.

Haiwezekani kuokolewa kwa neema, then matokeo ya neema hiyo ndani yako yakawa matendo ya kuzimu.

16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?

17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.

18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.

19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.

Mathayo 7
 
Ukisoma vitabu vya HGW utashangaa sana, kwao Shetani ni bora kuliko Catholic. Wamejifanyizia siku ya Ijumamosi kua sanamu yao wanayoiabudu.
Yesu hakuzaliwa ndio mwezi December, tunachofanya ni Kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu kristo. Kuadhimisha sio lazima iwe siku ile ile tukio fulani lilipotokea.
So Yesu aliwekwa kwenye Msalaba wa aina gani?
Kwa hiyo kati yenu ninyi mnaoamini X-mass birthday ya uongo na hao wanaoamini Jumamosi ndiyo siku ya ibada yao, nani yuko sahihi hapo?
 
Kwamtazamo wangu na kuuliza nikwamba Christmas imetengwa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu sio Tarehe aliyozaliwa Yesu.

Kilichohakika ni kwamba Yesu alizaliwa na ndicho kinachosherehekewa.

Sasa wahusika wanaosherehekea walitenga Tarehe hiyo kwasababu mbalimbali ambazo zinahitaji muda kuzijadili.

Kwa kuwa tunahakika Yesu alizaliwa na alikufa na kufufuka hivyo tunaadhimisha kuzaliwa kwake, kufufuka na kufa kwa Tarehe zinazoamuliwa kwa pamoja.

Kuna watu hawajui Tarehe zao za kuzaliwa ila wanauhakika walizaliwa na wametenga Tarehe za kusherehekea kuzaliwa kwao.
Je, unafahamu ni nani hasa ^mungu^ mashuhuri aliyezaliwa hiyo Desemba 25? Fumbueni macho, eti!

If the very birthday of Christ was that important, wouldn't God have inspired the Gospel writers to include it in the Bible?

Catholicism has been and is teaching lies upon lies, and the whole world is entangled and entrapped. The masses of people are ^drunk with the wine of her fornication,^ so says the book of Revelation.
 
Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.

Imani na dini ni kama atom na molecule. Atom mbili za oksijeni huunda molekyuli moja ya oksijeni. Kadhalika imani fulani kuhusu umizimu huunda dini ya umizimu. Imani ya Ukristo huunda dini ya Ukristo.

Imani na dini ni sawa na pande mbili za sarafu moja. Simply put, they're inseparable -- haviwezi kutenganishwa.
 
Back
Top Bottom