Walioruhusu picha hii itumike hawakuwa wajinga

In short, ume-assume tu. Kwamba kwa kua Catholic wako na reserve ya taarifa mbalimbali za kale, basi pia watakua na picha ya Yesu.

It's not a fact, it's an opinion.
 
Muunganiko wa Rumi na Ukristo uliozaa roman catholic haukuufuta ukristo? Nn kilimmeza mwenzake? Nn kilibadilika? Ukristo ulifanana vp kabla ya ukatoliki? Vitu viwili vinapoungana kitu kipya huzaliwa.
 
Nilipoanza tu kusoma uzi huu, hasa ulipowazungumzia Imhotep na Leonardo, nikafahamu kwamba hujafanya tafiti vizuri au umeegemea mlengo fulani. Dunia imekuwa na watu wengi wenye akili, katika nyakati tofauti ambao wameisaidia dunia kufika hapa ilipo leo. Mfano, msomi wa kiarabu Ibin Al-Haytham aliandika kitabu ambacho kilibadilisha mwelekeo wa sayansi ya dunia mpaka leo hii hadi kuwafunda wakina Leonardo.

Wanasayansi wakubwa wa Ulaya kuanzia Bacon, Kepler, Newton, Leonardo na Galileo walianza kufanya mapinduzi makubwa kwenye ulimwengu wa sayansi baada ya kusoma kazi za Al-Haytham ambazo zilitafsiriwa na Bacon. Dunia nzima leo, hakuna kazi ya kisayansi inayofanyika bila kutumia, The Scientific Method iliyobuniwa na Al-Haytham. Hata wewe unatumia, The Scientific Method kufanya mambo yako. Kusema Imhotep na Leonardo ndiyo watu wenye akili zaidi, ni matusi kwa ulimwengu wa sayansi.

Tuwekane sawa kwenye hili, halafu ndiyo tuje kuzungumzia suala zima la Vatican na Yesu.
 
Picha za Yesu zinamuonesha yupo smart kama watawala wa enzi hizo ilihali alidharaulika sana hadi wakasema ''ni huyu mtoto wa seremala'' ina maana alikuwa common man tu. Sasa kwanini wachore picha anafanana na tabaka la watawala?, au ni ili kuleta picha ya ufalme wa Mungu? Basa kama ndio hivyo picha haina uhalisia.

kuna watawala hata viongozi wa kanisa katoliki (mapapa na makadinali) picha zao za mionekano halisi hazipo sasa inakuwaje iwepo ya mwananchi wa kawaida tu au ya Yesu wanayemuhubiri. Hii haijakaa sawa sababu wao tunategemea wangekuwepo picha zao kamili kabisa.

Anyway bado sijashawishika kabisa juu ya hii picha. Kuna movie moja ya Yesu inamuonesha akiwa tofauti sana na huyu, yupo angalau kama raia wa kawaida.

Kuna habari kuwa picha za Mtume Mohammed hazipo kabisa na za kubuni hawa ndugu zetu hawazitaki, kitu ambacho ni kizuri.

Picha ya Yesu ni kama zilivyo picha za wakina Moses, Abraham, Yusufu, Joshua n.k ni picha zakubuni tu.
 
Theology imewa drain
 
Kwanza nikukanushe dunia haijawai kuwa na watu wenye akili kama mnavyodangwanywa.

Pili uwepo wa wachoraji wenye akili na uwezo mkubwa wako wengi sana hata mitaani wapo, njoo uwaone watoto wanaoweza kukuchora mpka maungo yako ya sirini.

Tatu historia ya dunia imepindishwa kwa faida ya mzungu Tu, je vipi kuhusu Kemet iliyoongoza dunia nzima kwa zaid ya miaka 6000? Vip kuhusu utawala wa South afrika ya kale kabla ya ukolon, naongelea zaid ya miaka 5000bc sio hizo falme zenu za juzi hizo walizoongoza wafalme vibaraka, na je vip kuhusu ufalme wa Ethiopia ama kush ya kale ambayo ilikuwepo zaid ya miaka 6000 bc, siongelei hiyo ethiopia ya leo ya vibaraka wa kidini waliopewa Biblia za mchongo kuupa nguvu ukristo feki.

Dunia na historia mnayofundishwa ni kama 10% ya historia mnayotakiwa kujifunza, maana mashulen mnaanzia kusoma hivyo vijifalme vya waajem sjui warumi na takataka za kizungu, kumbe waliwai kuwepo wahindu, wachina na Waafrika kabla ya hizo dola za karibuni.

Kama dunia imepita maelfu ya miaka kwann mjifunze kuhusu historia inayogusa miaka maximum 7000 tu je miaka 30000 b.c nini kilikuwepo? Ni nani alitawala? Na wakina nani waliounda misingi ya dunia hii?

Jibu mnalipata kuwa mtu wa mwisho kupata dola kuongoza dunia kwa ujanja yaan mrumi ndie aliyeharibu historia hii ya dunia.

Dunia inanza ambapo maelfu ya miaka iliyopita kabla ya mgawanyo wa mabala, then inakuja historia ya chanzo cha Races dunian na mgawanyo wa makabila na matabaka ya rangi za watu+wanadamu, then inakuja historia ya falme 5 kubwa zilizotawala dunia miaka mingi iliyopita.

Ndipo zinakuja nyakati za giza ambapo warumi waliiba historia za watu wa kale na Jemedari wa kale wa jamii ya kiafrika ambaye babu za mama yake waliishi afrika mashariki ama babilon ya kale ama pia Edeni ya kale na baadae kuhamia central afrika ama Yerusalem ya kweli ya kale, na huko jemedari huyo alizaliwa kimiujiza yaan alizaliwa na Mama pasipo mimba yake kutungwa kwa muingiliano wa Me+Ke na hiyo zamani ilikuwa jambo la kawaida kwa mababu waliojua siri ya nguvu za Nuru Rohoni.

Mtu huyo alizaliwa afrika kwa mission maalumu na alikuwa mweusi kwakuwa Africa ni ya watu weusi, na mtu huyu alifanyiwa janja janja na wanadamu wa ngozi nyeupe kuuwawa, lkn alifufuka kimiujiza baada ya mission yake kukamilika aliondoka dunian kimazingara na kurudi Makao yake ambako ni nje ya mbingu za viumbe wa Roho za Nuru.

Mtu huyu ndiye habari zake wazungu wa kirumi waliiba na kukitengeneza kiumbe kiitwacho yesu kwa kukipa historia ya mtu huyo, na yesu huyo kibinadamu ni ufanano wa mwana wa mfalme wa rumi ya miaka ya 320, ivyo basi Yesu kama yesu hajawai kuwepo, Viongozi wenu wanayajua haya mambo.

Ubapozungumzia yesu unakuwa unamzungumzia JINI azazel/Zeus ambaye kiroho ni Jini/pepo lkn kibinadamu alipewa uhusika wa mtu mwenye ufanano na mwana wa mfalme wa rumi, ambaye ndie wakina Leonard da vinch walimchora, na Jini hili ndilo hucontrol tabia za ushoga&usagaji ndiomaana viongoz weng wa kidini wakipagawa na pepo hili huishia kuwalawiti watoto mfano mapadri&mashekhe wote wanatumia nguvu za hiki kiumbe.

Rumi hiyo ndio inatawala dunia leo hii kupitia mashirika mbalimbal dunian kama UN, WHO, UNHCR, mashirika ya muvi kama Hollywood, mashirika ya technolojia kama NASA, mashirika ya usambazwaji habari na media zote kubwa na mitandao mikubwa ya kijamii kama Fb, whatsApp, instagram, jamii za siri kama freemason&illuminat, mifumo ya siasa kama ubepari, ujamaa, mifumo ya kidemokrasia, pia Taasisi za Dini zote za ukristo&uislam ni mali yao hawa jamaa, hata lile taifa pendwa la israel ya mchongo ni wao walilitengeneza kwa kuakisi maisha ya wayahudi wa kwel ambao waliishi afrika na ambao ni watu weusi, na Taifa teule la kweli lilikuwepo hapa Africa central afrika katikati mwa afrika kutokea Eden ya kweli ambayo ni East Africa.

Jua kuwa picha ya yesu iliundwa kwa makusudi na lengo kubwa na Target ni mtu mweusi Tu, huko kwingine dunian hawahangaik nako bali Africa,

Ndioamaana ilitumika nguvu kubwa kueneza filam ya yesu kupitia mashirika ya kidini mikutanon na masemina mliyokuwa mkioneshwa Projection ya sinema ya yesu then majarida na vipeperushi mpaka leo wanagawa mashulen kwa watoto wanawaharibu akili mapema ili wasije kuujua ukweli.

Nguvu hii inayotumika kumdanganya mtu mweusi kupitia mafunzo ya kidini, ndio ile ktk dini zenu mnaita Chapa ya 666 yaan kumfanya mtu halisi wa dunia(mtu mweusi) asahau utambulisho wake kwa kutaka ama kutotaka ndiomaana mafunzo haya ama uongo huu haukwepeki kirahisi na ukiukwepa ni vigumu kusurvive dunian maana utatengwa na nchi zote kuwekewa vikwazo vya kila namna ama kuuwawa,

Na ukiukubali uongo huo ndio pale unakuwa umekufa kiroho kwa kukubali chapa ya mafundisho ya uongo, hivyo sahau kuhusu Ufalme wa mbingu, labda kwa Neema sana kulingana na matendo yako dunian.

Narudia tena, huyo yesu hajawai kuwepo, stori zoote za dini zote ni uongo, mitume wote na manabii waliishi Africa na walikuwa watu weusi, hamuwezi kuambiwa haya na wachungaji wenu maana watauwa soko la makanisa, jarbu kupeleleza utatajua haya.

Dunia inaongozwa na shetan mwenyewe by 100% dunian wanamuabudu shetan uwe unapenda ama hupendi ukweli ndio huu ama vip urudie asili ya kumuabudu muumba wa kweli ambaye wazungu na waarabu walichakachua mafundisho yake.

Niishie hapa msijekuchanganyikiwa.
 
Kitabu cha KEMET itabdi nikisome kwa kweli umenifumbua kitu
 
Nilijua tungeona facts za kuthibitisha ya kuwa hiyo kweli ni picha ya Yesu.

Achilia mbali watu kutokuwana picha ya Yesu, hata picha ya Muhammad haipo. Kingine mpaka picha za watu maarufu na wasomi wakubwa walio ishi Karne ya 13 hazipo picha zao.

Kuna vitu mnatakiwa muwe na ushahidi nazo na si dhana kama hivi. Athari ya mapicha picha kama haya ni kumpa mtu taswira ya mtu ambaye kiuhalisia si yeye. Hii ni shida kubwa sana. Mmechorewa picha ya Mzungu wakati husemwa Yesu hakuwa mzungu.
 
Muhammad alikuwepo miaka 600 baada ya kristo sitaki kuamini warabu hawakutunza kumbukumbu yake maana nao walikua vizuri kiteknolojia
Wametunza kumbukumbu nyingi na wako vizuri katika hilo, ila picha yake haipo, kadhalika hapakuwa na haja ya kuwepo picha yake sababu si jambo la msingi.
 
Kitabu cha KEMET itabdi nikisome kwa kweli umenifumbua kitu
Tafuta historia ya nyuma angalau hata asili ya misri ya kale utaujua ukweli, huko utaona akielezewa mtu ambaye alikuwa na sifa kama za Yesu kabla ya ujio wa yesu, na baadae zaid ya miaka5000 anaibuka mtu anajiita mkombozi wakat huo kuna mkombozi aliyeishi kabla yake, je tumuamini yupi?

Hata uwe wew uletewe mtu anaejiita nyerere kazaliwa miaka ya 1980 na mwingine anajiita nyerere lkn kazaliwa miaka ya 1920 huko je utamuamini yupi?

Bila shaka utamuamin mtu wa mwanzo maana ndie aliyetoa Copies za Habari zake kwa wengine kumuiga? Na ndivyo ilivyo stories nying dunian ni uongo, jaribu kufuatilia muvi zinazoendeshwa na mashirika ya wazungu mfano hollywood huko wanawawekea siri nyingi za maisha yaliyopita na yajayo, lkn kwakua hatupendi kuchunguza content tupo bize na mamipira yasiyo na faida acha tuendelee kudanganywa.

Kiufupi muvi kama black panther ni uhalisia wa maisha ya Afrika ya kale iliyomilik technology ambazo kwa sasa hakuna mwenye uwezo wa kuzifanya, just imagine kipyramid tu kimewashinda wazungu kutambua kimejengwaje je wataweza kujiita wana akili? Uliza babu zako wapo wanaofahamu siri za hayo mapiramidi lkn hawasemi kwakuwa walikatazwa kueneza technolojia kwa watu weupe wanaotumia technolojia kwa malengo ya ushetani.
 
Nje ya mada kidogo pyramid of djoser na giza ni zipo sehemu moja au zilijengwa sehemu tofauti kwa wakati tofauti na wajenzi tofauti, 'nimetumia neno wajenzi na maana yangu'.
 
Safi ntakisoma aisee
 
Naona kama mwabishania upuuzi tu! Hayo mambo ya wazungu waachieni na tamaduni zao,mkijua dunia imejaa hadaa mtaacha haya mabishano yasiyo tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…