Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu ndugu zangu.
Watanzania wenzangu ni wiki ya pili sasa toka mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwe, chama kimekuwa hakina muelekeo.
Kila mmoja ndani ya chama anatafuta njia ya kunufaika kupitia mgongo wa kesi ya Mbowe. Wapo wanaotaka kutumia ujinga wa wanachama wao kupiga hela kupitia michango wanayochangisha, wapo waliochapisha t'shirt kwa bei nafuu lkn wanaziuza kwa bei mbaya, wapo ambao wanatafuta tu umaarufu ili baadae wautumie umaarufu huo kama kichochoro cha kufanikisha malengo yao nk.
Sasa basi kwa haya tunayoyaona hapa, nimeamini kwamba CHADEMA ni mtu sio taasisi.
Maana wakati Mwenyekiti alipokuwa uraiani, hakuna mtu aliyepata namna ya kujinufaisha kwa njia yoyote bila kupitia kwa mwenyekiti ili wagawane mchongo.
Kwahiyo kwa haya ninayoyaona sasa, nimeamini kuwa chadema ndio Mbowe, na Mbowe ndio chadema. Hakuna cha taasisi wala cha "taa wao".
Tanzania ndio nchi pekee ambayo mwanasiasa anaweza kumiliki maelfu ya" ndondocha na misukule" bila kutumia mganga.