Waliosema CHADEMA ni taasisi wala sio mtu walikuwa na maana gani?

Mimi picha nilizoweka haikuwa chadema ya Lowasa ila ukasukumizia na kulazimishia kuwa ni Lowasa!WTF!!!
Basi mkuu yaishe.. kila mmoja abaki na anachoamini. Siasa sio dini kusema mtu itampeleka mbinguni au motoni
 
Basi mkuu yaishe.. kila mmoja abaki na anachoamini. Siasa sio dini kusema mtu itampeleka mbinguni au motoni
Siasa ina uwezo wa kukupeleka mbinguni au motoni.Imagine kwa mfano jitu fulani liingie madarakani kama Rais halafu iibuke ebola halafu hilo jitu lisema kuwa chanjo hazifai.Huo siyo moto?
Your browser is not able to display this video.
 
Siasa ina uwezo wa kukupeleka mbinguni au motoni.Imagine kwa mfano jitu fulani liingia madarakani kama Rais halafu iibuke ebola halafu hilo jitu lisema kuwa chanjo hazifai.Huo siyo moto?View attachment 1874213
Nafikiri ni bora huyu kuliko yule aliejitolea kutumia elimu yake ya sheria kutetea mashoga, wauza madawa ya kulevya na wahujumu uchumi. Pia kuna yule mwenyekiti alietafuna michango ya wabunge wake waliochanga kwa muda wa miaka mitano.... Ndugu yang ni bora uipiganie nafsi yako ili utapokufa roho yako iweze kufikia mahali pazuri, kuliko kumpiania mwanasiasa ambae haujui mambo mengi anayofanya sirini. Wahenga wanasema moyo wa mtu msitu ikiwa na maana kuna yale ambayo mtu anaweza akafanya bila ww ndugu, rafiki au jamaa yake usijue.
 
Inakuwaje unalinganisha vitu viwili ambavyo havifanani?Unaijua sayansi ya kulinganisha vitu?Unawezaje kumlinganisha mtu ambae ni Rais wa nchi na mtu ambae siyo Rais wa nchi?

Unawezaje kumlinganisha mtu ambae ana dola na mtu ambae hana dola?Unawezaje kumlinganisha Rais ambae ugonjwa fulani unaweza kuibuka akakataa chanjo na Taifa zima likaangamia na mtu ambae hana mamlaka yoyote dhidi ya Taifa?Unamlinganisha vipi Rais ambae kwa mfano ana uwezo wa kushawishi sheria fulani ya kuangamiza Taifa zima itungwe kama alivyofanya Hitler dhidi ya wayahudi na mtu ambae hana mamlaka yoyote juu ya Taifa?Upo vyema kichwani?!WTF!!!

Rais ni dola.Rais ni mamlaka.Huwezi kumlinganisha Rais na mwanasiasa wa chama cha upinzani labda kichwani uwe ni debe tupu.Tutaendelea kuwaelimisha juu ya haya mambo simple hadi lini?Hamkusoma civics?!Wakati wenzenu wanajifunza juu ya haya mambo ninyi mlikuwa busy kula makamasi?
 
Kwani huko jamhuri ya Twitter wakiongozwa na raisi wao Kigogo wanasemaje
 
Kwa hiyo ccm hayako katiba mpya ni ndondocha au watz wote ni ndondocha wamebambikwa tozo wako kimya
 
SACCOS.

Ni genge la mandondocha linaloongozwa na wanafamilia ,ndugu na wenye maslahi yao.

Ujinga wao ni kudhani CCM ni chama tu kama hayo "magenge yao".

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
Nani mwenye akili anashobokea ccm labda wenye maslahi,
 
Kweli....shetani yule anayetaka kutumia DEMOKRASIA kuleta REGIME CHANGES through endless riots and sits-in that would be met with unnecessary confrontations and blood bath......

#AmaniKwanza
#UtulivuKwanza
#SerikaliMbiliMilele
#KaziIendelee
we pimbi, mpubavu akiandika kingereza hujiona mjanja, tunaodai katiba ni sisi wananchi tusio na vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…