#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?





================================
Update: 17/07/2021
Mwingine huyu
 
Mkuu Francis Da Don, hao ni wapuuzi tu.

Kuna mpuuzi mwingine anashinda kule Twitter kazi kuiombea mabaya tu Tanzania, ooh mbona takwimu hazitolewi, Sasa unajiuliza huyu adui anataka azipeleke wapi, na kwa faida ya nani?

Yaani mpaka kwenye Covid-19 kuna watu wana_ retire imprest, shenz type kweli hawa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha[emoji23][emoji23], kwani we unaamini US walikuwa wanakufa 4,000 tu kwa siku?
Hahaa hizi zote ni propaganda. Dhumuni haswaa ni kuwatia watu hofu ili wapate chance ya kufanya biashara zao

You can imagine kile kifaa cha kupimia virus wa covid 19 kinauzwa laki 5s sijui sina hakika sana (wajuzi watanisaidia)

Lakini bei yake inacheza katika rank hizo So Mimi nawewe tujiulize mpaka sasa wauzaji wa hivyo Vifaa wameshauza vingapi na wamesha ingiza faida kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mliozika usiku hawakuwa mizoga? Kama unafikiri kuna watu hawakufa kiasi ulichotegemea, mshukuru Mungu. Usijipige kifuani kuwa wewe ni mjanja.
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
 
Haha[emoji23][emoji23], kwani we unaamini US walikuwa wanakufa 4,000 tu kwa siku?
Sikusikia 4000 kwa siku, highest niliyoona ilikuwa around 2000 nadhani.

Africa tuna matatizo mengi sana, hii Corona ni hardly kuwa noticed sababu inafunikwa na matatizo makubwa zaidi

Rwanda na Kenya mafuriko yameua watu wengi kuliko Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchoyo wa habari, maendeleo na ugunduzi ni kazi yetu Waafrika. Sisi tuligundua chuma kabla ya mzungu, koo zilizojua kufua chuma zilifanya ujuzi huo kuwa siri ya ukoo na anafundishwa mtoto mkubwa arithi ujuzi kama vile wanavyorithi uganga wa kienyeji.

Mzungu alipogundua ujuzi huu alifanya hila mpaka tukamfundisha. Yeye alikaa na wenzake wakaona wakizalisha majembe 20 kwa mwaka watapata faida. Matokeo yake zana za chuma zilimuendeleza zaidi mzungu katika ustaarabu wa kulima na kufuga.
 
Back
Top Bottom