lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Mimi naamini kabisa kwa mkoa kama Dar es salaam hapa wangekua wanakufa idadi ya watu tunayoambiwa na Kigogo na Mange Kimavi kila kitu kingekua wazi tungeona maturubai lakini cha ajabu ukipita magruou ya whatsapp , vijiweni, masokoni huku viwanja vya ndondo ukiuliza kuna mtu kafiwa asee kila mtu anasema hajapata msiba wowote yani hajafiwa mtu na ndugu hata kwa Taifodi achilia mbali Corona..
Humu JF pia uliwekwa uzi alifiwa kwa corona aweke ushahidi ikawa zzzz tukasema basi labda waliofiwa hawapo JF
Ama kweli Mungu anatupenda wakuu tuache kuzusha taharuki na tuendelee kuishi kwa tahadhari kwa kufuata ushauri wa wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app