Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Huyu Boss wa WHO ni mpumbafu sana sijawahi kuona.... Huyu ni bumunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawawezi coz wao sio mungu, nakupa mfano wakati bush anaipga iraq alisema ataiangamiza ndani ya nusu saa bt ikaisha siku, masiku, miezi hatimae mpaka leo ipo iraq...Hivi Kama kweli mabeberu wakiamua kutuuwa waafrica wote mnafikiri wanashindwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchoyo wa habari, maendeleo na ugunduzi ni kazi yetu Waafrika. Sisi tuligundua chuma kabla ya mzungu, koo zilizojua kufua chuma zilifanya ujuzi huo kuwa siri ya ukoo na anafundishwa mtoto mkubwa arithi ujuzi kama vile wanavyorithi uganga wa kienyeji.
Mzungu alipogundua ujuzi huu alifanya hila mpaka tukamfundisha. Yeye alikaa na wenzake wakaona wakizalisha majembe 20 kwa mwaka watapata faida. Matokeo yake sana za chuma zilimuendeleza zaidi mzungu katika ustaarabu wa kulima na kufuga.
Ana akili sema kawa redio ya mabeberuHuyu Boss wa WHO ni mpumbafu sana sijawahi kuona.... Huyu ni bumunda
"Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. "Kama unafikiri kuna watu hawakufa kiasi ulichotegemea, mshukuru Mungu. Usijipige kifuani kuwa wewe ni mjanja.
Corona haifichikiSio ukoo, Kuna rafiki zangu 4 wameguswa na Corona, vitu vingine hata havihitaji u genious kujua..kwa hizi siasa za Corona zinavyo pigwa hapa nchini bado unaamini takwimu unazopewa na Serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadanganywa na kina BASHITE na JIWE wakati wao wenyewe wamejificha wakifanya press watu wapo mita 10 kutoka wao halafu wakitoka hapo mbio kwenda kujifungia ndani huku kwenye accounts zao kuna mabilioni yametulia,gari kwenye parkin' lot kama zipo ICD,kwenye friji kuna vitu vya kula hata miezi mi3,store vyakula kama vyote!! SANTAIZA ndani dumu za lita 20 kama zote,Gunia zima la mask N95 halafu wanawachuza nyie mkapukutike.Chukua tahadhari
Uache nonsense ubishani
ugonjwa upo na watu wanakufa kweli..
Ugonjwa ni siri ya daktari na mgonjwa mwenyewe.Hivi unajua ni kwanini tulitawaliwa? Ni kwasababu hatujitambui. Wewe kwa akili yako unaamini kuwa Afrika ina vifo 4000 tu? Unaamini yale wanaosema kina Bashite na Magufuli? Juzi Magufuli kafiwa na dada yake unajua kilichomuua?
Sasa si ndio ilikuwa hoja yake kwamba sisi ni wachoyo? Ndio nami nakahoji uchoyo huu ni kwetu tu maana hata wazungu sijawaona wakitoa ujuzi wao kwetu bure bureElimu tunayoisoma Africa ni ileile wanaisoma wazungu, na ndio inayotumika kufanya uvumbuzi.
- Africa tunakwama because of people like u, watu mnaosubiri mzungu awape ujuzi akati kashawapa elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipoambiwa tusali kwa siku tatu wewe ulielewa nini kwani?Wewe hayajakukuta kwa sababu ya ujanja wako.
Kwahiyo?Hivi Kama kweli mabeberu wakiamua kutuuwa waafrica wote mnafikiri wanashindwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wanatafta viokoteo waje waokote. Kuwa mchawi si mpaka uwange ata kumuombea mwenzio mabaya ni uchawi piaNasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
Aliiombeaje mabaya Tanzania? tupia iyo sala nioone mkuuMkuu Francis Da Don, hao ni wapuuzi tu.
Kuna mpuuzi mwingine anashinda kule Twitter kazi kuiombea mabaya tu Tanzania, ooh mbona takwimu hazitolewi, Sasa unajiuliza huyu adui anataka azipeleke wapi, na kwa faida ya nani?
Yaani mpaka kwenye Covid-19 kuna watu wana_ retire imprest, shenz type kweli hawa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaamini USA vifo ni 2,000 tu kwa siku?Hivi unajua ni kwanini tulitawaliwa? Ni kwasababu hatujitambui. Wewe kwa akili yako unaamini kuwa Afrika ina vifo 4000 tu? Unaamini yale wanaosema kina Bashite na Magufuli? Juzi Magufuli kafiwa na dada yake unajua kilichomuua?