#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

nimejiunga magroup kama matano ya whatsap na yote yana wanachama wengi.
nimeuliza kama kuna member yeyote kafa au kafiwa ama kuna mtu mtaani kwao kafa kwa corona anijulishe nakusanya data.
acha kufa hakuna hata aliesema kawai kuugua corona.
kila mtu yuko poa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wana vipimo vya korona mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi ni mchawi tu,wakati mwingine huitaji hata maombi,ila kuselfie nae tu.
 
Sio ukoo, Kuna rafiki zangu 4 wameguswa na Corona, vitu vingine hata havihitaji u genious kujua..kwa hizi siasa za Corona zinavyo pigwa hapa nchini bado unaamini takwimu unazopewa na Serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hajasema kwamba watu hawafi. Ila tunauliza vipi kuhusu hiyo mizoga iliyokuwa inasemwa itaokotwa barabarani lukuki? Wewe huko umeiona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom