Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Environmental immunity is a game changer plus consumption of natural food through out our lives.
No genetically modified food substances.
No genetically modified food substances.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kabisha?Sasa utajuaje corona ipo ama haipo wakati watu hawapimwi wakaoneka na corona?
Corona ipo, hivyo muwe na tahadhari, vaeni barakoa, kosha mikono na mjiepushe na misongamano.
Huko mmeshaanza kuokota mizoga barabarani?Umesema all Africans ina vifo visivyofika 4000 tu, ambayo marekani walikuwa wanavipata kwa siku.
Hii takwimu umeiokotea wapi mkuu?
Kwanza kabisa, marekani ndani ya masaa 24 walikuwa wanachezea 2000.
Hapa kwetu siasa mpaka kwenye Corona,,,aibu sana
Vipi we unaugua corona?Sasa utajuaje corona ipo ama haipo wakati watu hawapimwi wakaoneka na corona?
Corona ipo, hivyo muwe na tahadhari, vaeni barakoa, kosha mikono na mjiepushe na misongamano.
Tarehe 1 Juni hadi leo tarehe 14 Juni ndio wiki 3 tayari zimetimia? Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.Wataalamu wa corona walitueleza na kutuonya vikali kwamba ni mwiko kufungua vyuo kutokana na corona la sivyo tutaokota wanavyuo kama kumbikumbi wakiwa wamejifia hovyo.
Wataalamu wakasisitiza tuvae barakoa na kujipaka sanitaiza wakati wote na kwamba magufuli atajutia uamuzi wake wa kufungua vyuo. Maiti zitatapakaa katika namna ambayo haikuwahi kushuhudiwa.
Na kwamba wanafunzi hawa watageuka kuwa carriers wa virusi na watavisambaza kila mahali.
Leo ni wiki ya tatu, hakuna cha corona wala kitu gani. Sijasikia mtu afe wala kuugua japo tuvimafua.
Wataalamu mnasemaje?
CCM yuko wapi hapa ama umerukwa na akili?Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.
Coco beach je? Ule mkusanyiko siku ya eid mosi na pili walisemaje na zimepita wiki ngapi mpaka ss?Tarehe 1 Juni hadi leo tarehe 14 Juni ndio wiki 3 tayari zimetimia? Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.
Hivi hizi wiki 2 mnazotupaga kila siku mnaanza kuhesabu lini?Tarehe 1 Juni hadi leo tarehe 14 Juni ndio wiki 3 tayari zimetimia? Ma CCM buana, kila kitu ni porojo na ugoro ugoro tu.
Yaani hawa wanachekesha, kila siku wanatupa wiki 2😂Coco beach je? Ule mkusanyiko siku ya eid mosi na pili walisemaje na zimepita wiki ngapi mpaka ss?
Kamuulize da UmmyHivi hizi wiki 2 mnazotupaga kila siku mnaanza kuhesabu lini?