#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

6FBDD046-D208-4299-A78D-F73905477A51.jpeg

Maambukizi yarudi kwa kasi ya ajabu Marekani na Ulaya
 
Sikusikia 4000 kwa siku, highest niliyoona ilikuwa around 2000 nadhani.

Africa tuna matatizo mengi sana, hii Corona ni hardly kuwa noticed sababu inafunikwa na matatizo makubwa zaidi

Rwanda na Kenya mafuriko yameua watu wengi kuliko Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo wametangaza wamekufa watu 4,000 marekani ndani ya masaa 24.., ila nadhani hi ni propaganda ya kupush matumizi ya Vaccine mpya ili makampuni ya madawa yapige mpunga 😂😂😂😂😂
 


Bill gates akitabiri vifo zaidi kwa Africa kuliko ulaya na Marekani 😂😂😂😂
 
Maiti walijiongeza wakajipeleka wenyewe kaburini kwahiyo hiyo ya kuokota maiti barabarani hatutakuwa NATO tena
 
Maiti walijiongeza wakajipeleka wenyewe kaburini kwahiyo hiyo ya kuokota maiti barabarani hatutakuwa NATO tena
Hahahahah, nikikumbuka jinsi kale kazombi Mange kimavi kalivuokuwa kanatisha watz huko insta basi nacheka
Sana...😅😂😂😅😅😅😅😅
 
Haya, ni wiki kadhaa sasa tunaambiwa hii aina mpya ya Covid (Second wave) inakuja, sasa sijui imefika wapi, porojo tupu
 
bill gates na mke wake walikua wanajitabiria tu mwingine africa watu mil 10 mwingine watakufa mil 6 hahahaaa
sijui wanakuja na mbinu gani tena maana hawaishiwagi mbinu hawa
Wamekiboresha hiki kirusi, halafu wakaenda kukitupa South Africa huko, lakini naona bado wanaondoka wao wenyewe, ngozi nyeusi wabishi kweli aisee...😂😂😂
 
 
Back
Top Bottom