FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanza kuokota mizoga huko kwenu?
Pole ndugu yangu. Nyomi nyomi yaani [emoji3]Mshaanza kuokota mizoga huko kwenu?
Wapi, weka picha
We uko nchi gani?
Wiki mbili mbona bado sana, ndo kwanza siku ya nne tangu mwaka 2020 mwezi March, sisi huku ni kiherehere chetu cha kujidai kuwa mwaka 2021 umefika wakti bado dunia ipo 2020.Mshaanza kuokota mizoga huko kwenu?
Wiki mbili mbona bado sana, ndo kwanza siku ya nne tangu mwaka 2020 mwezi March, sisi huku ni kiherehere chetu cha kujidai kuwa mwaka 2021 umefika wakti bado dunia ipo 2020.
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?
Tusubiri wiki mbili zifike, nasikia tangu machi 2020 hadi leo wiki mbili bado eti 😂😂😂😂Ni mapema mno kuanza kejeli kama hizi kwa issue serious. Unatamani yawe kama walivyotutabiria? Usisahau sasa tuna wimbi la 3 ambalo wanasema linaambukiza kwa kasi na rahisi sana kuliko Corona ya awali!!!!
Tusimame imara, hakuna panya wa majaribio nchi hii