#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Wiki mbili mbona bado sana, ndo kwanza siku ya nne tangu mwaka 2020 mwezi March, sisi huku ni kiherehere chetu cha kujidai kuwa mwaka 2021 umefika wakti bado dunia ipo 2020.

Akamwulize jiwe leo tuko siku ya ngapi.
 
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina gates na Kimambo? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze kuokota watu barabarani kama kumbi kumbi?

Ni mapema mno kuanza kejeli kama hizi kwa issue serious. Unatamani yawe kama walivyotutabiria? Usisahau sasa tuna wimbi la 3 ambalo wanasema linaambukiza kwa kasi na rahisi sana kuliko Corona ya awali!!!!
 
Tusubiri wiki mbili zifike, nasikia tangu machi 2020 hadi leo wiki mbili bado eti 😂😂😂😂
 
Aibu tupu, watu wapiga matrillion kwenye ununuzi wa machanjo feki, na hakuna aliyechoma
 
Back
Top Bottom