Mambo mengine ni ya kuchekesha sana,hivi ktk umri wote alionao rais Magufuli ina maana kafiwa na huyo dada ake tu?Na kama siku za nyuma aliwahi kufiwa je walikufa kwa uginjwa gani? Na je lini palitangazwa kuwa ktk kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, watu wenye magonjwa mengine vifo vyao vimesogezwa mbele hadi corona itakapoisha?Hivi unajua ni kwanini tulitawaliwa? Ni kwasababu hatujitambui. Wewe kwa akili yako unaamini kuwa Afrika ina vifo 4000 tu? Unaamini yale wanaosema kina Bashite na Magufuli? Juzi Magufuli kafiwa na dada yake unajua kilichomuua?
Hapo ndipo uchache wenu wa kufikiri na kuitakia mabaya Tanzania unapoonekana yaani hivi sasa mnataka ionekane kuwa malaria haiui,kansa haiui,ukimwa hauui na magonjwa mengine kibao ambayo yamekuwa yakitutesa kila uchwao ila inayoua ni corona tu.
Magufuli lazima atafiwa kama tunavyofiwa binadamu wengine hapa duniani na si lazima kila atakaekufa ktk ndugu zake basi awe amekufa na corona.
Lakini pia huyo dada ake aliekufa ndio anawakilisha maelfu ya hao mnaowaokota mitaani.Ninyi hivi sasa mmekosa hoja kazi yenu kurukaruka tu pambafff.
Sent using Jamii Forums mobile app