#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Hivi unajua ni kwanini tulitawaliwa? Ni kwasababu hatujitambui. Wewe kwa akili yako unaamini kuwa Afrika ina vifo 4000 tu? Unaamini yale wanaosema kina Bashite na Magufuli? Juzi Magufuli kafiwa na dada yake unajua kilichomuua?
Mambo mengine ni ya kuchekesha sana,hivi ktk umri wote alionao rais Magufuli ina maana kafiwa na huyo dada ake tu?Na kama siku za nyuma aliwahi kufiwa je walikufa kwa uginjwa gani? Na je lini palitangazwa kuwa ktk kipindi hiki cha ugonjwa wa corona, watu wenye magonjwa mengine vifo vyao vimesogezwa mbele hadi corona itakapoisha?
Hapo ndipo uchache wenu wa kufikiri na kuitakia mabaya Tanzania unapoonekana yaani hivi sasa mnataka ionekane kuwa malaria haiui,kansa haiui,ukimwa hauui na magonjwa mengine kibao ambayo yamekuwa yakitutesa kila uchwao ila inayoua ni corona tu.
Magufuli lazima atafiwa kama tunavyofiwa binadamu wengine hapa duniani na si lazima kila atakaekufa ktk ndugu zake basi awe amekufa na corona.
Lakini pia huyo dada ake aliekufa ndio anawakilisha maelfu ya hao mnaowaokota mitaani.Ninyi hivi sasa mmekosa hoja kazi yenu kurukaruka tu pambafff.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuachane na Hilo la kuokota maiti barabarani hiyo ni bullshit sikuiamini pia.
Ila hivi we unaamini kweli Kuna vifo 4000 tu vya Corona Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata kama ni zaidi ya 4000, vifo haviwezi kuwa vingi kama vinavyotokea huko Ulaya, Marekani na Mabara mengine. Hapa Afrika, kifo/mazishi ni suala nyeti la kiimani na kiutamaduni. Kama kweli watu wangekuwa wanakufa kwa mamia na maelfu kama huko kwa wenzetu lazima ingejulikana tu. Haiwezekani Waafrika wote kwa chi zote watakubali mamia kwa maelfu ya ndugu zao wazikwe kihuni. Lazima wangepaza sauti zao. Hata kama nchi kadhaa zingeficha ukweli, tungeona ripoti za vifo/misiba toka nchi nyingine za Afrika zikiwa tofauti. Hapa JF penyewe baadhi ya watu walikuwa wanajitahidi kuokoteza taarifa za vifo kila mahali na kututangazia 'TANZIA' kila siku, lakini siwasikii tena sana siku hizi. Mimi naamini kabisa kwamba, inawezekana hadi sasa Afrika kuna wagonjwa wengi kuliko Ulaya, Marekani n.k., na hatujui idadi kamili kwa sababu nchi nyingi hazipimi watu wengi, lakini idadi ya vifo ni ndogo kama inavyoonekana. Inawezekana kabisa Waafrika tulio wengi tuna kinga imara sana kutokana na magonjwa na changamoto zingine sa maisha tunazopitia kila siku.
 
Kwa sasa kuna Mtu hana hoja za kuchangia, ila anasubiri hali ibadilike iwe mbaya sana aanzishe thread zenye title “MLIOKUA MNAANZA KUSIFIA HALI IKO SHWARI, CORONA INAUA KWA KASI SANA ONA USHAHIDI HAPA CHINI ....”

Ukiacha ushabiki wa vyama, hawa watu wanaotabiri mabaya na ni Watanzania sijui wanafaidika nini!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa hajasema kwamba watu hawafi. Ila tunauliza vipi kuhusu hiyo mizoga iliyokuwa inasemwa itaokotwa barabarani lukuki? Wewe huko umeiona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sikukubaliana na hiyo mambo ya watu kuokotwa barabarani, nilichosema madhhara ya Corona hayaonekani sana kwa sababu rekodi hazichukuliwi
Mpaka sasa nchi zilizoonyesha kuyathirika sana na Corona Africa ni Soutrh Africa na Egypt, lakini zinaonekana zimeathirika sana kwa sababu ndio nchi zilizoendelea zaidi na ndiuzo zinazoweza kupima watu zaidi
 
Basi waache waliotabiri/kusapoti utabiri wa kuokota mizoga waje kujibu
 
Naona maandamano Marekani hakuna kabisa social distancing, hivi kuna siri gani juu ya huu ugonjwa hadi ukakuzwa kiasi kile? Na JPM alipata wapi huu ujanja wa kuishtukia hii ishu mapema? Shikamoo JPM?
 
Wew ulitakaje iwe hivyo au tofauti? Acha utoto huo ulikuwa utabiri tu
 
Yule mama alifikiri corona inamalizza masikini wa manzese na mburahati na mbagala kumbe ni vice versa inawamaliza watu wenye uwezo wa kununua sanitizer
 
Toka march walisema baada ya week 2 tutaanza okota mizoga barabarani (hatukuwapinga),mpaka sasa ni siku 90+,sijaona ndugu,jirani,rafiki na hata mpita njia akiwa amekufa ama kuokotwa barabarani sikuridhika,nimepigia ndugu,rafiki na staff wenzangu zaidi ya 9 wa mikoa na sehem tofauti nikitaka kujua kama wamefiwa na ndugu,rafiki ama jirani,majibu yao ni kama yangu,wanasikia kwenye social media tu,sana kigogo huko twitter.

Ushauri wangu wa faida,jaribu kupiga ndugu,rafiki na majamaa wakupe mrejesho wa maeneo wanayoishi,utagundua hii kitu imewekwa kisiasa.

All in all jiadhari.
 
Mimi hata mtu aliyeumwa sijawahi kumuona
 
Sasa utajuaje corona ipo ama haipo wakati watu hawapimwi wakaoneka na corona?

Corona ipo, hivyo muwe na tahadhari, vaeni barakoa, kosha mikono na mjiepushe na misongamano.
 
Back
Top Bottom