mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wawe na Kocha mzuri kama Gamond. Nabi na uzuri wake lakini robo ya Club Bingwa hakuiona. Injinia anahamia kwenye Siasa😂MIAKA 25 ROBO!! Subirini mwaka 2049 kwa wata,kaojaliwa kufika huko!!
Kwa Mzee Magoma atuondolee Kurjan!Gusa achia twende wapi,,,,,?
Gusa achia turudi nyumbani tukacheze na geita.Maneno machafu ndio unajiona mtoa ujuzi.. Shame
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Kachezeni Fainali ya kombe la kina mama kwanza alafu mje mrudi tuongee.Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Wewe kweli hujitambui. Simba imeshacheza fainali ya kombe la Afrika na ina rekodi kadhaa ambazo hazijawahi kufikiwa na Utopolo. Subirini wanaume wawatafutie nafasi ya kushiriki kimataifa. Huna jipyaKachezeni Fainali ya kombe la kina mama kwanza alafu mje mrudi tuongee.
Yanga kacheza robo Fainali ya klabu Bingwa 1969, 1970 mara mbili mfululizo, kacheza robo kombe la Abiola juzi tu 1995 Yanga ya kina Nonnda, kacheza robo 1998 klabu Bingwa ngazi ya makundi, Kacheza Fainali 2023 kombe la kina mama, kacheza robo klabu bingwa 2024 kwaiyo mkacheze Fainali kwanza uko kwa kina mama ndio mrudi tuongee.
Mpaka mseme… endelea kukagua historia. Chura nyie 😂😂😂Kachezeni Fainali ya kombe la kina mama kwanza alafu mje mrudi tuongee.
Yanga kacheza robo Fainali ya klabu Bingwa 1969, 1970 mara mbili mfululizo, kacheza robo kombe la Abiola juzi tu 1995 Yanga ya kina Nonnda, kacheza robo 1998 klabu Bingwa ngazi ya makundi, Kacheza Fainali 2023 kombe la kina mama, kacheza robo klabu bingwa 2024 kwaiyo mkacheze Fainali kwanza uko kwa kina mama ndio mrudi tuongee.
Haina haja ya kumtajianrekodi za simba kimataifa.Wewe kweli hujitambui. Simba imeshacheza fainali ya kombe la Afrika na ina rekodi kadhaa ambazo hazijawahi kufikiwa na Utopolo. Subirini wanaume wawatafutie nafasi ya kushiriki kimataifa. Huna jipya