WAlioshangaa Yanga kutolewa CAF champions cup ni mambumbumbu wa soka: Yanga hufuzu mara moja robo fainali katika muda wa miaka 25!

WAlioshangaa Yanga kutolewa CAF champions cup ni mambumbumbu wa soka: Yanga hufuzu mara moja robo fainali katika muda wa miaka 25!

Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
 
Utakuta mshabiki anajiaminisha asilimia 100 kuwa yanga lazime isonge robo fainali wakati timu haina wachezaji wa kuifanya isonge mbele!! Ni Azizi KI tu aliyekuwa anaipambania timu kama ya baba yake vile!!
Tena shabiki anakwambia Yanga hii hadi fainali kabisa kama sio kuchukua ndoo ya CAFCL
 
Wewe kweli hujitambui. Simba imeshacheza fainali ya kombe la Afrika na ina rekodi kadhaa ambazo hazijawahi kufikiwa na Utopolo. Subirini wanaume wawatafutie nafasi ya kushiriki kimataifa. Huna jipya
Mwakikundi watàsababisha tupunguziwe timu mashindano ya Africa,
 
Back
Top Bottom