Walioshinda kiuchumi siku zote waligeuza changamoto kuwa fursa

Sekta ya ujenzi haitaathirika sana hususan miradi mikubwa na bidhaa za ujenzi kwa ujumla, kikubwa Bei inaweza panda kutokana na scarcity ya baadhi ya bidhaa mathalan bati ambazo sheet coil zake huwa ni Kutoka nje (import)

Kama utahitaji bati nzuri kwa Bei nafuu wasiliana nami kwa 0658339930

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Regardless of the geagraphica scale of the desease, ninaamini kuna washindi wachache wataibuka (lakini kama ugonjwa huu usipochukua muda mrefu sana)

Ni suala la kuumiza kichwa tu

Pia unaweza kununua barakoa za kutosha ili uje uuze baadaye , within a month au 2 months ugonjwa ukapotea

Unaweza ununue chakula cha kutosha, kwa kuwa watu wanaendelea kuzalisha chakula, bado ukapata hasara

Hii na pandemic sio epidemic mkuu.

Yani uchumi wa dunia utaporomoka kwa % kadhaa, so dont expect to make $ out of pandemic.
Unforgetable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah aisee wadau apa nina kazi ya kupitia mada moja moja mpaka nipate wazo bora la biashara ata kama ikichukua mwezi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.
Watu hutoa mawazo kulingana na maeneo yanayowazunguka wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.
Watu hutoa mawazo kulingana na maeneo yanayowazunguka wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ni corona mkuu

Sasa hili jambo ni heavy weight to carry

Ni sawa na kichwa cha jogoo ukibebeshe zege

It's Scars
 
Write your reply...mada tamu sanaa niko apa kujifunza.
 
Biashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.
Watu hutoa mawazo kulingana na maeneo yanayowazunguka wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mkuu kuna sehemu unakosea mtaani na mtandaoni kuna tofauti gani au watu wa mtandaoni sio hao wanaoishi uku mtaani alafu maarifa na mwazo yanapatikana sehemu zote mfano kupitia mtandao nasoma mawazo 6wengine na kisha naainisha na ya kwangu ambayo nimeyaona mtaani kisha naandaa mpango kazi mkuu BTW asante kwa kunikumbusha mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…