Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naaam usafirishaji wake upoje? hapa ndio maana naipenda jamii forums
shukran hivi ukishindilia gunia unawexa weka kama kilo ngapi hivi
Hii na pandemic sio epidemic mkuu.
Yani uchumi wa dunia utaporomoka kwa % kadhaa, so dont expect to make $ out of pandemic.
Unforgetable
Za vyakula...! Flow nzuri tu
vipi izo ndio zile zisisokuwa na mchanga?View attachment 1422764
Dagaa boss wangu! Zinatoka kwa mwendo kasi
Daaah aisee wadau apa nina kazi ya kupitia mada moja moja mpaka nipate wazo bora la biashara ata kama ikichukua mwezi mmoja
Biashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.Daaah aisee wadau apa nina kazi ya kupitia mada moja moja mpaka nipate wazo bora la biashara ata kama ikichukua mwezi mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto ni corona mkuuBiashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.
Watu hutoa mawazo kulingana na maeneo yanayowazunguka wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mkuu kuna sehemu unakosea mtaani na mtandaoni kuna tofauti gani au watu wa mtandaoni sio hao wanaoishi uku mtaani alafu maarifa na mwazo yanapatikana sehemu zote mfano kupitia mtandao nasoma mawazo 6wengine na kisha naainisha na ya kwangu ambayo nimeyaona mtaani kisha naandaa mpango kazi mkuu BTW asante kwa kunikumbusha mkuu!!Biashara ya kufanya haitafutwi hivi ndugu, Toka ndani tafuta changamoto zinazoikumba jamii yako ndo ela hiyo.
Watu hutoa mawazo kulingana na maeneo yanayowazunguka wao.
Sent using Jamii Forums mobile app