Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Je, katika wakati huu wa hili gonjwa umeona fursa gani? Zingatia yafuatayao:
Endapo serikali ikiamuru kila raia avae barakoa, hii inamaanisha kwamba wafanyabiashara waanze kujiimbikizia makontena ya barakoa kwa matumaini kua watakuja kuuza hapo baadae kidogo?
Endapo serikali ikafunga mipaka kimikoa ila ikaacha shughuli nyinginezo ziendelee ndani kwa ndani, hii inamaanisha watu waanze kukusanya mazao kwa wingi kwani baada ya hapo ualishaji utazorota na hivyo kujiingizia kipato kwa kuyauza mazao hayo baadaye?
Au wewe katika janga hili la corona umeona fursa gani? Au umeona malalamiko tu kwa serikali kuwa haijachukua hatua?
Hebu tujaribu kufikiri tofauti kidogo ili tuitumie changamoto hii kama fursa.