Walioshindwa kumshauri Vizuri Hayati Magufuli waondolewe haraka kwenye uongozi

Wewe ungeweza kumshauri vizuri Jiwe?
... tuanze upya, ... lakini tusisahau!
KATIBA MPYA YA JAJI WARIOBA - HARAKA IYOOO!
πŸ‘Š πŸ˜…βœŒοΈπŸ’₯
 
Ukiona kiongozi ana washauri wabovu ujue tatizo ni yeye kiongozi na si washauri.
 
pumba tu usipo msifu madaraja yatamsifu, barabara zitamsifu hulazimishwi
 

Nakazia: mimacho, katelefoni, yule Mbeya, mwenye jina linalofanana fanana na ole sendeka na wa namna hiyo.
 
CCM yote ndio ya kuondoa.

Hivyo Vyama vingine ulishaviona katika Darubini yako kuwa na vyenyewe vikishika Dola vitafanya zaidi ya yaliyofanywa na CCM? Watanzania tunapenda mno kuishi kwa Ndoto za Alinacha na siyo kwa Uhalisia wa Jambo.

Kwa Udhaifu wa Vyama vingine ( ukikiondoa CCM ) na Unafiki wa Viongozi wao huko naona ni Kheri CCM ikaendelea Kututawala tu Tanzania. Bado sijaona Vyama Shindani hasa hapa nchini Kwetu TZ labda mbeleni tu huko.
 



πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kwenye kukosoa Hapo mkuu utaambiwa ujiuzulu tatzo ni katiba yetu
 
Hahahahahahahahhahahahaaha..........

Ila mimi naamini waliokataa unafki walifanya kazi yao lakini walikimbiza rohozao,kwasasa wapo nje.
Usifikili mchezo mkuu.

Mtu unamwambia hapo unakosea anakoki bunduku, ukipata upenyo huwez kukaa hapo.
Hahahahhahag
 
Nikweli kabisa
 
Hii tabia ya Rais kujiamulia mwenyewe kufanya mambo ya hovyo afu wanakuja kusingiziwa washauri ikomeshwe.

Tunaambiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu sasa akizingua iweje mzigo uwe wa washauri?
 
Hii tabia ya Rais kujiamulia mwenyewe kufanya mambo ya hovyo afu wanakuja kusingiziwa washauri ikomeshwe.

Tunaambiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu sasa akizingua iweje mzigo uwe wa washauri?


Washauri na Wasaidizi wake wanayohaki na Uhuru wa kutoshirikiana na kiongozi dhalimu.

Kuendelea kishirikiana na kiongozi wako ambaye ni dhalimu ni kuonyesha mpo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…