Walimu hawana posho ndiyo maana wanategemea mishahara 100%, sitaki kuwalaumu CCM imewageuza kuwa tegemezi
Hata waliosomea udaktari hawaitwi afisa daktari.Mleta mada ana hoja,na ni kweli hawaitwi maafisa elimu badala yake hicho ni cheo cha kiutendaji na si kwa ajili ya elimu (shahada).tuliweke sawa hili kwa mwenye uelewa atuweke sawa
Walimu wanamaisha magumu sanaWalimu hawana strategy za kudai haki zao halafu kila walipo ni fujo angalia mishahara ikitoka wao ndio wa kwanza kujaa benki idara nyingine wako zao taratibu tu
Siyo sifa bali ni heshima! Napenda heshima maana ni stahili kama ilivyo stahili kwa wengine wenye kiwango sawa cha elimu.Na bado kuna wahuni tu mtaani wanaitwa maafisa wa NIDA, mwalimu unapenda sifa wewe khaa!
Ualimu unasomewa ngazi ya cheti na stashahada tu. Hakuna shahada ya ualimu. Shahada inaitwa " Bachelor of Education in Arts, Bachelor of Education in Science nk" Hakuna shahada ya Bachelor of teaching!! Waliosomea udaktari wanaitwa Medical officers!! Labda uamue kuwa mbishi tu lakini ukweli ndio huo.Hata waliosomea udaktari hawaitwi afisa daktari.
Labda waitwe afisa mwalimu maana wamesomea ualimu siyo elimu.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Yap ni shahada ya elimuUalimu unasomewa ngazi ya cheti na stashahada tu. Hakuna shahada ya ualimu. Waliosomea udaktari wanaitwa Medical officers!! I
Una uhakika kuwa Waalimu hawaajiriwi kama Maafisa Elimu?Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya utaalamu. Linapokuja suala la waliosomea nyanja ya ELIMU katika ngazi ya shahada ikaonekana HAWASTAHILI KUITWA MAAFISA katika eneo lao la utaalamu!! Waitwe tu waalimu! Hapo awali walikuwa wanaitwa maafisa elimu, lakini WAKAFUTIWA hadhi hiyo ya uafisa!! Sielewi kitu gani kinafanya walimu wabaguliwe hivyo kwa wazi kabisa! Hii ni dharau kubwa kwa wataalamu wetu wa elimu, halafu watu wanashangaa kwa nini elimu yetu inashuka!
Siyo suala la ajira bali ni suala la taaluma yao!!Na hao maafisa elimu siku hizi wamejaa sana mtaani hawana ajira.
Walikuwa wanaajiriwa kama maafisa elimu hapo awali. Lakini baadaye wakafuta hiyo na wakawa wanaajiriwa kama waliimu. Hata ajira zilizotangazwa hivi karibuni na TAMISEMI wataajiriwa kama waalimu. Sehemu ya tangazo hili hapa:Una uhakika kuwa Waalimu hawaajiriwi kama Maafisa Elimu?
Kafanye research upy
Hii yote ni sababu ya lile Jambo letu ku fail,pole Sana Mwalimu,😀serikali imefanya ufikilie mbali sana
Hizi kazi mbili za ualimu na upolisi sidhani kama mtu wa idara hiyo angetamani mwanae aje kusoma kuwa mtumishi wa idara hizo kama yeye. Serikali huwatumia kama vikaragosi vyao.Walimu hawana posho ndiyo maana wanategemea mishahara 100%, sitaki kuwalaumu CCM imewageuza kuwa tegemezi
Mbona Yesu aliitwa mwalimu na hakuitwa Afisa Elimu?Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya utaalamu. Linapokuja suala la waliosomea nyanja ya ELIMU katika ngazi ya shahada ikaonekana HAWASTAHILI KUITWA MAAFISA katika eneo lao la utaalamu!! Waitwe tu waalimu! Hapo awali walikuwa wanaitwa maafisa elimu, lakini WAKAFUTIWA hadhi hiyo ya uafisa!! Sielewi kitu gani kinafanya walimu wabaguliwe hivyo kwa wazi kabisa! Hii ni dharau kubwa kwa wataalamu wetu wa elimu, halafu watu wanashangaa kwa nini elimu yetu inashuka!
Tatizo hixo kada zingne wapo Wachache tu, halmashaur nzima unakuta una afisa misitu mmoja,Kwa upande wa elimu walipo wapo elfu Moja, so utakuta una maafisa elimu elfu Moja hpo Ndo shida Ilianza.Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya utaalamu. Linapokuja suala la waliosomea nyanja ya ELIMU katika ngazi ya shahada ikaonekana HAWASTAHILI KUITWA MAAFISA katika eneo lao la utaalamu!! Waitwe tu waalimu! Hapo awali walikuwa wanaitwa maafisa elimu, lakini WAKAFUTIWA hadhi hiyo ya uafisa!! Sielewi kitu gani kinafanya walimu wabaguliwe hivyo kwa wazi kabisa! Hii ni dharau kubwa kwa wataalamu wet wa elimu, halafu watu wanashangaa kwa nini elimu yetu inashuka!
[emoji28][emoji28][emoji119]View attachment 2211167
Maafisa Elimu wakipata chakula cha mchana siku ya tarehe moja mwezi huu baadae watashushia matikiti maji warudi makwao
Wanaitwa mwalimu daraja la tatu cHapana walimu wote mwenye degree wanaitwa maafisa elimu