mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #41
Afisa Elimu mpaka uwe na shahada ya Elimu. Usichanganye huduma za rohoni na za mwilini. Kwenye Kanisa mpaka leo kuna wenye huduma ya ualimu. "....Mungu alitoa wengine kuwa wachungaji na waalimu ..."Mbona Yesu aliitwa mwalimu na hakuitwa Afisa Elimu?