Kumbe nawe uliipata ila ametoa nondo kweli ila si kwa walimu wa shule za misingi, sijui nani aliwarogaTunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu
Kumbe wewe badoHili darasa limekamilika
Tusiache ku share na wastaafu tarajiwa
Oh! Karibu bintiBado sanaaaaaa
Naweza kuzaa mtoto leo na nikamlea hadi akamaliza university ndio nifike huko
IMEKUWAJE HUYU MH. ANATOA MADINI WAKATI HUU? ALIKUWA WAPI.Bravo Mh. MtakaTunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa.
Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea kila kitu hata mimi mama D sina cha kuongeza hapa zaidi ya kuwaomba msiupuuzie huu ushauri
View attachment 1859291
Mkawe na week yenye mafanikio na baraka tele ndugu zangu
Umesema kweli mimi ni wa kijijini huku MatomboWewe ulitaka atoe lini? Madini mengine anayotoaga unayajua?
Serikali ina hazina ya viongozi
Kumbe bado binti mdogo kazi kuishangilia CCM tu humu.Bado sanaaaaaa
Naweza kuzaa mtoto leo na nikamlea hadi akamaliza university ndio nifike huko