Waliotabiri mvua itanyesha hawakukosea

Mvua rain🌦️🌦️ipo
Niko kwangu hapa usagara imepiga hataree
 

Attachments

  • IMG_20231031_112832_190.jpg
    362 KB · Views: 3
  • IMG_20231031_182553_175.jpg
    668.5 KB · Views: 3
Hongera mkuu kwa mjengo, samahani huo mjengo ni vyumba vingapi?
Hizo ziko two in one compound,moja ndo nimefikia,moja atakaa mpangaji nikimpata
Ni za mwanangu wa pili nimemjengea
Kuna mastaz,sebule kubwa,na jiko la kizungu la kutumia umeme,na hapa umeme haukatiki,ni masaa 24 full,ule umeme wa Uganda🙏
Kuna ground kubwa ya kuongeza nyingine Kama 3 panapo majaliwa🙏
 
TMA ni chombo cha kisiasa tu kama vilivyo vyombo vingine kama hicho vinavyoitwa mamlaka. Huu ni msimu wa mvua kunyesha kwa majira yake. Isiponyesha italeta taharuki kwa nini isinyeshe wakati ni majira yake kunyesha? Hizo mamlaka husema vitu ambavyo ni lazima vitokee kwa mujibu wa jiografia ya mahali fulani
 
Hongereni sana kwa mvua.... Sisi huku hatujaiona hata tone🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…