Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu mno mnama!!Hivi pumbu zenyewe hazinyeshewi?
We chalii unafatiliaga mambo za raia! Acha kuwa kama Binti za kimeru!Kuna mdau asubuhi alisema mvua inanyesha kistaarabu sana pande hizo, imekuaje tena?
Tumepaona "kwako".Mvua rain[emoji2413][emoji2413]ipo
Niko kwangu hapa usagara imepiga hataree
Njoo undengerekoni,tunavuka mto maji ya shingo pumbu haziloiHivi pumbu zenyewe hazinyeshewi?
Hiyo ya 4,ninayo Moshi town,goba,pwani bwagamoyo,na hiyo nya mwanangu wa tatu ndo naizindua🤣🙏👌Tumepaona "kwako".
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitaka tujue kua ana P*mbu kubwa hadi zimeweza kuficha simu yake
Hapo jirani na kigongo ferry🤣😂busisiTumepaona "kwako".
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe!Hiyo ya 4,ninayo Moshi town,goba,pwani bwagamoyo,na hiyo nya mwanangu wa tatu ndo naizindua[emoji1787][emoji120][emoji108]
😂🤣😂Kumbe!
[emoji28][emoji28]
Hongera mkuu kwa mjengo, samahani huo mjengo ni vyumba vingapi?Mvua rain[emoji2413][emoji2413]ipo
Niko kwangu hapa usagara imepiga hataree
Kweli manmkuu pumbu lako kiboko linazuia simu kuingia maji. polee sana chief
Interested?Alitaka tujue kua ana P*mbu kubwa hadi zimeweza kuficha simu yake
Hizo ziko two in one compound,moja ndo nimefikia,moja atakaa mpangaji nikimpataHongera mkuu kwa mjengo, samahani huo mjengo ni vyumba vingapi?
TMA ni chombo cha kisiasa tu kama vilivyo vyombo vingine kama hicho vinavyoitwa mamlaka. Huu ni msimu wa mvua kunyesha kwa majira yake. Isiponyesha italeta taharuki kwa nini isinyeshe wakati ni majira yake kunyesha? Hizo mamlaka husema vitu ambavyo ni lazima vitokee kwa mujibu wa jiografia ya mahali fulaniHawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri.
Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji.
Ninavyoandika huu Uzi bado mvua kubwa inanyesha Arusha
Tumshukuru Mungu
Hongereni sana kwa mvua.... Sisi huku hatujaiona hata tone🥲Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri.
Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu yule jomba aliyekua anaendesha harrier yake alinipa lift manake sikuona bodaboda wala bajaji.
Ninavyoandika huu Uzi bado mvua kubwa inanyesha Arusha
Tumshukuru Mungu