Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka.
WANAWAKE
MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott alipokea $38 bilioni kwa njia ya hisa za Amazon baada ya kutengana na Jeff Bezos mwaka 2019.
Melinda French Gates (Bill Gates) alipokea zaidi ya $6 bilioni katika mali baada ya kutengana na Bill Gates mwaka 2021.
Princess Diana (Prince Charles) $22.5 milioni taslimu na $600,000 kila mwaka kama marupurupu ya kujikimu.
Juanita Jordan – baada ya miaka 17 ya ndoa alipata fidia ya $168 milioni kutoka kwa Michael Jordan. Mojawapo ya malipo makubwa zaidi ya talaka kwa mwanamke kutoka kwa mwanamichezo.
Maria Shriver (Arnold Schwarzenegger) - takriban $200 milioni Baada ya miaka 25 ya ndoa, ambayo ilikua ni karibu nusu ya utajiri wa Arnold Schwarzenegger.
WANAUME (Takribani asilimia 5 ya wanaume hunufaika kimapato na talaka)
Guy Ritchie: Baada ya talaka na Madonna mwaka 2008, Guy Ritchie alipokea zaidi ya dola milioni 90, pamoja na mali nyingine.
Kevin Federline: Baada ya kuachana na Britney Spears mwaka 2007, Kevin Federline alipokea malipo ya takriban dola milioni 1, pamoja na malipo ya kila mwezi ya dola 20,00 kwa ajili ya malezi ya watoto wao.
Kris Humphries: Baada ya ndoa ya siku 72 na Kim Kardashian mwaka 2011, Kris Humphries alipokea malipo yanayokadiriwa kuwa dola milioni 5.
Jesse James: Baada ya talaka na Sandra Bullock mwaka 2010, Jesse James alipokea malipo ya talaka yanayokadiriwa kuzidi dola milioni 4.
Zaidi ya asilimia 90% ya malipo ya talaka na alimony huwa yanatoka kwa wanaume kwenda kwa wanawake. Sababu kuu ni wanaume kua na kipato cha juu zaidi ya wanawake.
CC: Ushimen Intelligent businessman makutupora