Waliotaka Rais Samia aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Watanzania mna shida kweli. Huo ndiyo utaratibu hata kipindi cha JPM nilifuatilia mkutano kuna wakati Shein alikaimu, JPM akatoka kura zikapigwa. Ni utaratibu shida ni pale watanzania mnageuza kiti cha urais kuwa kama ni Umungu fulani hivi.
 
Jamaa aliongea kwa Nia njema kabisa Ila. Imekua uhaini.

Nimeamini WAKATI mwingine...SILENCE IS THE BEST SHIP HOME 🤐
Watanzania tumeathirika, sisi ni viumbe wa kipekee kabisa katika sayari hii. Ule ni utaratibu wa siku nyingi ila sasa wanataka hata kusigina katiba yao machawa ili kumfurahisha rais. Yani ukiwa kiongozi epuka machawa kabisa maana inakuwa kama wanakusifu ila wanakharibia na kukugombanisha na watu.
 
Kiongozi ule msaada wako niliokuomba nikufuate private, maana sikutaka kukusumbua.

Nimekaa nakusikilizia.
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Naunga mkono hoja,Samia ni muungwana kupitiliza.Watu wa hivyo Nchi zingine hawaachwi salama.
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Yasni washtakiwe kwa kutaka katiba ya chams ifuatwe? Mbona jpm alikubali hayo na taratibu ziksfuatwa?
 
Watanzania tumeathirika, sisi ni viumbe wa kipekee kabisa katika sayari hii. Ule ni utaratibu wa siku nyingi ila sasa wanataka hata kusigina katiba yao machawa ili kumfurahisha rais. Yani ukiwa kiongozi epuka machawa kabisa maana inakuwa kama wanakusifu ila wanakharibia na kukugombanisha na watu.
Na tulivyo lusinde ajiandae..hawata mpitisha kugombea let wait & see
 
Back
Top Bottom