Waliotaka Rais Samia aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

usikariri ndugu mambo yanabadilika toka shimoni huko
Ndipo shida inapoanzia hayabadiliki bila kubadilisha katiba otherwise hakuna haja ya kuwepo katiba watu wawe wanafanya mambo kwa mapenzi yao. Katiba inaongoza mambo ukitaka yabadilike unaanza na katiba otherwise umeivunja.
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
We utakuwa umetoroka wodi ya Milembe
 
Ndipo shida inapoanzia hayabadiliki bila kubadilisha katiba otherwise hakuna haja ya kuwepo katiba watu wawe wanafanya mambo kwa mapenzi yao. Katiba inaongoza mambo ukitaka yabadilike unaanza na katiba otherwise umeivunja.
mnachekesha sasa bandugu, magu alifanya mkaona poa tena mkamshangalia ila akifanya mama mnaanza ooh utazan mmechomwa mwiba wa moyo
 
Jamaa aliongea kwa Nia njema kabisa Ila. Imekua uhaini.

Nimeamini WAKATI mwingine...SILENCE IS THE BEST SHIP HOME 🤐
Wapambe nuksi sana,mimi huwa nampuuza sana Kibajaji kwani mara nyingi yeye ni mtu wa mipasho na matusi lakini kwa juzi alikuwa sahihi wala hakuwa na nia mbaya ila sasa wapambe wamemuelewa vibaya,ila na yeye ajifunze kuwa huu uchawa ukizidi siyo mzuri kwani alichokuwa anafanya ni uchawa tu kama anavyofanya chawa mbobevu wa JF Lucas Mwashambwa.
 
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Wewe na kibajaji wote ni machawa sasa kwa nini unamfitini chawa mwenzako huo ni uchawi kabisa.
 
mnachekesha sasa bandugu, magu alifanya mkaona poa tena mkamshangalia ila akifanya mama mnaanza ooh utazan mmechomwa mwiba wa moyo
Magu alitoka akakaimu shein, zikapigwa ndipo akarudi...
Na hakuna aliyeona poa mbona kuna sehemu kibao na threads nyingi za pale aliposigina katiba na sheria watu waliziweka humu na akashambuliwa kama kawa.
 
daah napitia comments humu sikujua kumbe kuna chuki kubwa namna hii daah ama kweli kikulacho....ila mmekwama aisee
 
Waliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.

Uhaini:

tendo la kusaliti nchi yako, mipango ya kupindua serikali
 
Back
Top Bottom