Waliotaka Rais Samia aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

It was planned but he missed the target, alitakiwa aongee direct bila kutaka wakuu waondoke. Pale kama hujapangwa kuongea hata unyooshe mguu hutachaguliwa kusema
 
Dah umefika mbali sana. Unajua maana ya uhaini? Lusinde hakukosea ila hakusoma alama za nyakati na kushindwa kujizuia kuropoka. Sema mtu kama Lusinde ni kutompa tena nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM.
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Upo sawa kichwani au dish limeyumba kitambo🤣
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Hivi hamuelewi sa 100 anapoongoza vikao vya Chama anasimama kama Mwenyekiti wa Chama na Siyo Rais?

Kiuhalisia alipaswa kuachia nafasi wajumbe watimize takwa la kikatiba , lakini kwa sababu ya kukosa uelewa, kudanganywa, kupotoshwa, au uoga akaendelea kushikilia kofia ya Urais na kuwanyima wajumbe Haki Yao ya kutimiza wajibu wa Kidemokrasia na Kikatiba.

Kama CCM Wana akili basi wanatakiwa kumtosa sa100. Bado hiyo nafasi wanayo maana ni wazi anapanda mbegu ambayo siku za mbeleni watu wataendelea kutumia huo uvunjwaji wa kanuni kama rejea.

Poleni na vizuri mnajifunza kutoka CHADEMA
 
Watanzania mna shida kweli. Huo ndiyo utaratibu hata kipindi cha JPM nilifuatilia mkutano kuna wakati Shein alikaimu, JPM akatoka kura zikapigwa. Ni utaratibu shida ni pale watanzania mnageuza kiti cha urais kuwa kama ni Umungu fulani hivi.
usikariri ndugu mambo yanabadilika toka shimoni huko
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Hakuwa mahala pale kama "Rais. " alikuwa chamani
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Nipo siriaz kukuambia kuwa unapaswa kupata akili
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.

Walimtaka Mwenyekiti wa chama kuwapisha ili wamjadili siyo Rais.

Alikuwa pale kama Mwenyekiti wa Chama.
 
Mjinga nn wewe,

Kwani Huwa analala juu ya KITI?

Na pale alikuwa ni Mwenyekiti wa chama, Kutoka nje ndio Utaratibu.
Aende Nje kiti Cha Mwenyekiti amuachie nani? Wewe ndio uliitisha mkutano? Zero brain
 
Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.

Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Hivi unajua Samia akiwa CCM ni mtu wa kawaida siyo kama akiwa Ikulu? Samia akiwa CCM ni mwenyekiti wa chama. Ndiyo maana JPM alikuwa akifanyia mikutano yake ya CCM Ikulu, kwani akiwa katika majengo hayo ni Rais (Mkuu wa Nchi na Mwenyekiti wa CCM).
 
Back
Top Bottom