Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio kiongozi au hamna habari yule ndo mkuu wa nchi?Uhaini:
tendo la kusaliti nchi yako, mipango ya kupindua serikali
Nimeghairi kukusaidia.Kiongozi ule msaada wako niliokuomba nikufuate private, maana sikutaka kukusumbua.
Nimekaa nakusikilizia.
Thread yako akiisoma Mheshimiwa atafurahia sanaWaliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
ungekuwa ww ungempitisha?Na tulivyo lusinde ajiandae..hawata mpitisha kugombea let wait & see
Kwani Katiba ipi iliyovunjwa? Nani Hakuwahi vunja Katiba?Aliapa kuvunja katiba?
Kweli alinukuliwa vibaya..yeye alitaka mama atoke then azimio lipitishwe..Ila Sasa imeonekana vice versaWapambe nuksi sana,mimi huwa nampuuza sana Kibajaji kwani mara nyingi yeye ni mtu wa mipasho na matusi lakini kwa juzi alikuwa sahihi wala hakuwa na nia mbaya ila sasa wapambe wamemuelewa vibaya,ila na yeye ajifunze kuwa huu uchawa ukizidi siyo mzuri kwani alichokuwa anafanya ni uchawa tu kama anavyofanya chawa mbobevu wa JF Lucas Mwashambwa.
Mimi sina roho ya kwanini pia sina makuu Wala visasi...ninge mpitisha bila mawaaaungekuwa ww ungempitisha?
Umekula Maharage Ya Wapi ?, By GwajimaWaliotaka mhe Rais aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
atoke kwenda wapi?yeye alitaka mama atoke
afazali wew umeng'amua...yani kuna watu wanaongea kama wamekatwa vichwaHakuwa Dikteta au siyo? Kina Membe,Sofia Simba na wengine waliofukuzwa au kutishwa ilikuwa shida nini?
weka apa iyo tafsiri yako mkuu tuipimeDah umefika mbali sana. Unajua maana ya uhaini?
Unafikir mfano wajumbe wamkatae waziwazi unataka wauwawe ndio. Maana wakaomba apishe maana akitoka TU nje ya ukumbi wa kikao anakua MUNGU kwa KATIBA ya Sasa..wajumbe walilijua hili ndio maana wakaomba apishe kidogo.atoke kwenda wapi?
mkuu haujui tunaenda second term? hujui utaratibu wa chama? 2nd term kuna chujio?Kwanini mama anaogopa kupitishwa kwenye chujio?
sawa.,mimi huwa nampuuza sana Kibajaji
Yeye alimalizia awamu ya 5 usijifanye umesahau second term gan /ipi atoe nafasi apitishwe kwenye chujio ? Kufuatana na KATIBA ya CCM inavyo sema na kuelezeamkuu haujui tunaenda second term? hujui utaratibu wa chama? 2nd term kuna chujio?
Kamwambie shangazi yako awekeweka apa iyo tafsiri yako mkuu tuipime
kiongozi ww unauelewa uhaini upi?Uhaini ipi
hoja yako nn kiongozi?We utakuwa umetoroka wodi ya Milembe