Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
ubinadamu kazi"!Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Watanzania mna shida kweli. Huo ndiyo utaratibu hata kipindi cha JPM nilifuatilia mkutano kuna wakati Shein alikaimu, JPM akatoka kura zikapigwa. Ni utaratibu shida ni pale watanzania mnageuza kiti cha urais kuwa kama ni Umungu fulani hivi.Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Watanzania tumeathirika, sisi ni viumbe wa kipekee kabisa katika sayari hii. Ule ni utaratibu wa siku nyingi ila sasa wanataka hata kusigina katiba yao machawa ili kumfurahisha rais. Yani ukiwa kiongozi epuka machawa kabisa maana inakuwa kama wanakusifu ila wanakharibia na kukugombanisha na watu.Jamaa aliongea kwa Nia njema kabisa Ila. Imekua uhaini.
Nimeamini WAKATI mwingine...SILENCE IS THE BEST SHIP HOME 🤐
Kamdomo kamemponza,wenye akili walijua ule ni mchezo wa maigizo yeye akataka kuleta utararibu wa kikanuni na katibaJamaa aliongea kwa Nia njema kabisa Ila. Imekua uhaini.
Nimeamini WAKATI mwingine...SILENCE IS THE BEST SHIP HOME 🤐
Kiongozi ule msaada wako niliokuomba nikufuate private, maana sikutaka kukusumbua.Watanzania tumeathirika, sisi ni viumbe wa kipekee kabisa katika sayari hii. Ule ni utaratibu wa siku nyingi ila sasa wanataka hata kusigina katiba yao machawa ili kumfurahisha rais. Yani ukiwa kiongozi epuka machawa kabisa maana inakuwa kama wanakusifu ila wanakharibia na kukugombanisha na watu.
Ntaufanyia kazi weekend hii mkuu. Maana hapo katika ya week ghafla nilikuwa busyKiongozi ule msaada wako niliokuomba nikufuate private, maana sikutaka kukusumbua.
Nimekaa nakusikilizia.
Naunga mkono hoja,Samia ni muungwana kupitiliza.Watu wa hivyo Nchi zingine hawaachwi salama.Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
Shukran, ntakukumbusha jumapili au jumatatu; if you don’t mind.Ntaufanyia kazi weekend hii mkuu. Maana hapo katika ya week ghafla nilikuwa busy
Yasni washtakiwe kwa kutaka katiba ya chams ifuatwe? Mbona jpm alikubali hayo na taratibu ziksfuatwa?Waliotaka mhe raisi aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?
Napendekeza hawa wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali zinazostahili tukianzia na mhe yule.
Haiwezekani tuwe kama Banana Republic kila mmoja anasema tu anachojisikia hata kama hakina afya.
mambo ya ajabu kweli, chama hakofuago katiba yake, halaf wanataka mtu aadhibiwe kwa kutoaka katiba ya chama ifuatwe?Naunga mkono hoja,Samia ni muungwana kupitiliza.Watu wa hivyo Nchi zingine hawaachwi salama.
Na tulivyo lusinde ajiandae..hawata mpitisha kugombea let wait & seeWatanzania tumeathirika, sisi ni viumbe wa kipekee kabisa katika sayari hii. Ule ni utaratibu wa siku nyingi ila sasa wanataka hata kusigina katiba yao machawa ili kumfurahisha rais. Yani ukiwa kiongozi epuka machawa kabisa maana inakuwa kama wanakusifu ila wanakharibia na kukugombanisha na watu.