Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

Kwanza, rais anazungumzia kitendo cha kupeleka over priced invoice ambayo ilipofika kwake na kuhoji imekuwaje kuna tofauti kati ya serikali ilichotakiwa kulipa kwenye installment hiyo ya mwisho na kiasi kilicho kwenye invoice husika iliyoletwa ndipo akapewa sababu zisizo na mashiko. Invoice hiyo haikulipwa na anasema invoice hii haikutakiwa hata kufika mezani kwake kwaajili ya kulipwa walitakiwa kuizuia lakini sababu haya yalianza serikali kutengeneza mazingira ndiyo sababu ilipenya mpaka kwake.
MNAKUBALIJE KUMALIZA SHULE WAKATI HAMJAMALIZA UJINGA ??
 
Tuambie anayefikisha jalada Kwa Mhe. Rais ni mteule wake? Kama NI mteule wake, mbona wote bado wapo ofisini?

Hakuna sense ya uwajibikaji ndani Yao au Hadi Mhe. Rais awataje Kwa majina?

Mpaka umeitwa stupid adharani unafanya nini ofisini?
 
Wewe mwenye bicycle na huyo unayemuuzia wote mnatakiwa kuitwa wezi
 

Hizi ndo akili za wa Tanzaniq
 
Mwigulu ameshaeleza wao walipopata invoice kubwa kuliko malipo waliyopanga kwa sababu ya mkataba. Kitu cha kwanza walipeleka concerns zao ofisi ya mwanasheria mkuu.

Maana yake nini mwanasheria mkuu ahakiki vipengele vya ‘consideration terms’ kama vipo sahihi gharama kuweza kuongezeka kwa sababu zilizotajwa na mtengenezaji. Kama hivyo vifungu havipo wa challenge hizo gharama.

Ofisi ya mwanasheria mkuu, wakawambia ni sehemu ya mkataba. Baada ya hapo una jinsi zaidi ya kumweleza na boss kuna malipo makubwa zaidi yamekuja zaidi ya budget iliyopangwa; ndio sababu ya Bi Tozo kuelezwa na yeye awezi fanya kitu zaidi ya kufoka uzembe kwenye kuingia mikataba.

Shida ni kwamba watanzania ata wakielezwa vipi na wahusika, wao wakishatengeneza conclusion zao basi na premises za ufahamu wao kwenye sakata husika uwa ni mkubwa kuliko watu waliowapa hizo taarifa.
 
Nchi uwizi ndiyo fahari yetu

Wezi huko serikalini huku uraiani wanaonekana mashujaa

Ova
 
Kwahiyo aliyepeleka invoice hazina sio mtumishi wa umma?
Kumbe mastupid sio wezi serikalini tena imegeukia mashirika ya kutengeneza ndege?
Mbona mnachanganya watu kwa makusudi?
 
Kuna deal ya upigaji iliyofanywa na wanaojiita wajanja huko huko kwenye kampuni ya Boeing, ikihusisha ndege aina ya 767 ambazo hutumika sana jeshini kama tankers...KC-46
Kilichotuoponza ni ndege ya mizigo tuliyoagiza ambayo kimsingi n
hufanyiwa marekebisho kidogo, kupaka rangi... et voilà inatumwa kwa mteja kama amekamilisha malipo.
Kwenye sakata hili lazima kuna mtu upande wetu alifahamishwa mabadiliko ya bei lakini hakutaka kuhoji au alihusishwa kwenye mshiko akaona, isiwe taabu....lete invoice watalipa hawa maana wana uhitaji wa ndege ya mizigo ... Isitoshe nchi tajiri hii....
Fuatilia taarifa hii kutoka huko huko Marekani, utajifunza kitu.
 
Ndugu sijui kwa nini umeamua kufanya upotoshaji wa makusudi kiasi hiki!
Hata kauli za SSH zinadai kuwa kuna kolabo kati ya watu wa ndani serikalini walioshawishi invoice iwe kubwa!
Si mara zote tunasema Rais ni taasisi? Kwenye hili nakubaliana nae. Serikalini wizi umezidi!
 
Kwahiyo aliyepeleka invoice hazina sio mtumishi wa umma?
Kumbe mastupid sio wezi serikalini tena imegeukia mashirika ya kutengeneza ndege?
Mbona mnachanganya watu kwa makusudi?
Huyo mleta uzi ni stupid katumwa kuwasafisha mastupid!
 
Huyo mleta uzi ni stupid katumwa kuwasafisha mastupid!
Sawa mleta Uzi NI stupid, je invoice inaandaliwa na Nani Kati ya mnunuzi na muuzaji?


Upo uwezekano hao Ofisi Mwanasheria Mkuu waliotoa opinion hata exposure ya mikataba ya ndege awana........ogopa Sana MTU mwenye mawazo yakutoka ofisini Saa tisa
 
Sawa mleta Uzi NI stupid, je invoice inaandaliwa na Nani Kati ya mnunuzi na muuzaji?


Upo uwezekano hao Ofisi Mwanasheria Mkuu waliotoa opinion hata exposure ya mikataba ya ndege awana........ogopa Sana MTU mwenye mawazo yakutoka ofisini Saa tisa
SSH kasema Kuna influence ya watu wa ndani ambao hawakuhoji... Na akaongeza kuwa wameshirikiana kuitunisha invoice!
 
Mwigulu ameeleza inavyopasa kufanyika sio alivyofanya, angetekeleza ipasavyo CAG asingepata hojanya kuandika wala neno stupid lisingetikea, pamoja na wizara kuongozwa na doc
 

Ujue aliyetoa taarifa ya mabadiliko ya invoice ni Rais Samia. Tena akilalamika hadi akaita watu wapumbavu.
Watu / hadi wabunge ni kama hawamwelewi Rais na wanataka kumsaidia achukue hatua.
Kama Rais kafunga aseme bana tufahamu yupo kwenye mfungo
 
Mwigulu ameeleza inavyopasa kufanyika sio alivyofanya, angetekeleza ipasavyo CAG asingepata hojanya kuandika wala neno stupid lisingetikea, pamoja na wizara kuongozwa na doc
Mkuu kwa uelewa wangu hii ishu haipo kwenye Ripoti ya CAG iliyowasilishwa.
Hiyo hoja ni Rais tu mwenyewe aliiongezea ni mpya ya sasahivi .
 
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…