samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Ndi hivyoIla nyuzi nyingine ni kijidhalilisha tu.
FROM HOME OF GREAT THIMKERS MBAKA HUKU!!!
AIBU SANA.
Hakuna cha akiba ya maneno pale hakuna timuπ€£π€£Tusijiamini sana Ile ni derby na Simba wamebaki na kombe hili pekee kati ya makombe ya Chuma na dhahabu waliyokuwa wanagombea
Tumewaacha point 4 na uhakika wa wachezaji wetu tegemezi kucheza bado ni mdogo tuwe na akiba ya maneno