Walioteseka Utumwani Misri kuendelea kuteseka Tarehe 20 April

Walioteseka Utumwani Misri kuendelea kuteseka Tarehe 20 April

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Ije Mvua ije Jua iwe usiku iwe jioni na siku ileile 5imba yaenda kupigwa tena ila huenda zikapungua kiasi endapo watacheza kwa kujituma ingawa hawawezi kupenya ukuta mgumu walioshindwa masandawana au mamelods sundown waliowashabikia saana na hawakufua dafu kabisa.
Nipo pale nasubiri
 
Tusijiamini sana Ile ni derby na Simba wamebaki na kombe hili pekee kati ya makombe ya Chuma na dhahabu waliyokuwa wanagombea
Tumewaacha point 4 na uhakika wa wachezaji wetu tegemezi kucheza bado ni mdogo tuwe na akiba ya maneno
 
Ila nyuzi nyingine ni kijidhalilisha tu.

FROM HOME OF GREAT THIMKERS MBAKA HUKU!!!

AIBU SANA.
 
Tusijiamini sana Ile ni derby na Simba wamebaki na kombe hili pekee kati ya makombe ya Chuma na dhahabu waliyokuwa wanagombea
Tumewaacha point 4 na uhakika wa wachezaji wetu tegemezi kucheza bado ni mdogo tuwe na akiba ya maneno
Hakuna cha akiba ya maneno pale hakuna timu🤣🤣
 
Back
Top Bottom