Waliotubeza Simba SC tunawasamehe,tufurahi pamoja!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
54207591_1467871133346244_2897953149169958912_n.jpg

Habari ni kama mlivyozisikia,Simba SC tumeingia robo fainali na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. Tumepitia katika wakati mgumu sana,dhihaka,dharau na kebehi kwa kipindi chote cha mapambano.

Asanteni sana mliotubeza kwani mlitupa changamoto. Tunawasamehe tunawataka msijisikie vibaya,tufurahi wote kama nchi. Mashabiki wa Yanga baadhi tunawasemehe, Shaffi Dauda ulikiuka ethics za mchambuzi ukitubeza,tunakusamehe. Mwinyi Zahera uliyeacha nyumba yako ikiteketea kwa moto ukaenda kuzima moto wa jirani,na wengine tunawasamehe.

WanaJF wooooote kina Sibonike demigod Nifah Shadeeya Joseverest gungele kisiki kibichi astrologist hazard cfc nk tunasema msijisikie vibaya,ushindi ni wenu pia. Furahini pamoja na kina sembo MTAZAMO Shunie Viol Ghazwat Louis II nk

Shukrani ziwaendee makamanda wetu wote kikosi kizima. Clautus Chota Chama umekuwa unatuokoa dakika mbaya kwa hatua zote,umefanya hivyo dhidi ya Nkana FC,umefanya jana pia.

Shukrani zimwendee Mwalimu Patrick Aussems, Denis Kitambi, Boss Mo Dewji na Board of Directors yote, mashabiki wa Simba kwa hamasa ya maana kokote duniani.

Shukrani za kipekee kwa De La Boss Haji Sunday Manala,umekuwa nguzo muhimu kwetu nje ya pitch. Asante sana

This iz Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Shafii sauda hana lolote hajui mpira nakuambia na huyo mwinyi zuhura nae kimbelembele na uropokaji ndio unaomponza
Afrika hakuna kuiitana undergo kuna mtu niliwahi kumuelezea hili jambo kwakuwa afrika viwango vyetu vinafanana kila mtu anashinda kwake
huwezi fananisha na ulaya timu kama man city akicheza na shack 04 na ukimuita shack 04 underdog ni sawa maana anazo asilimia zote za kufungwa ugenini na kwake
Afrika hakuna underdog hakuna timu yoyote ije taifa itake kushinda wote wakija wanatafuta suluhu
 
View attachment 1047345

Habari ni kama mlivyozisikia,Simba SC tumeingia robo fainali na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. Tumepitia katika wakati mgumu sana,dhihaka,dharau na kebehi kwa kipindi chote cha mapambano.

Asanteni sana mliotubeza kwani mlitupa changamoto. Tunawasamehe tunawataka msijisikie vibaya,tufurahi wote kama nchi. Mashabiki wa Yanga baadhi tunawasemehe, Shaffi Dauda ulikiuka ethics za mchambuzi ukitubeza,tunakusamehe. Mwinyi Zahera uliyeacha nyumba yako ikiteketea kwa moto ukaenda kuzima moto wa jirani,na wengine tunawasamehe.

WanaJF wooooote kina Sibonike demigod Nifah Shadeeya Joseverest gungele kisiki kibichi astrologist hazard cfc nk tunasema msijisikie vibaya,ushindi ni wenu pia. Furahini pamoja na kina sembo MTAZAMO Shunie Viol Ghazwat Louis II nk

Shukrani ziwaendee makamanda wetu wote kikosi kizima. Clautus Chota Chama umekuwa unatuokoa dakika mbaya kwa hatua zote,umefanya hivyo dhidi ya Nkana FC,umefanya jana pia.

Shukrani zimwendee Mwalimu Patrick Aussems, Denis Kitambi, Boss Mo Dewji na Board of Directors yote, mashabiki wa Simba kwa hamasa ya maana kokote duniani.

Shukrani za kipekee kwa De La Boss Haji Sunday Manala,umekuwa nguzo muhimu kwetu nje ya pitch. Asante sana

This iz Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asee mimi kuna watu cwezi kuwasamehe kabisa haswa yule aliyetuita underwear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu wawili mm siwezi kuwasamehe na mm nawaita underdog kwenye majukumu yao wanayofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom