Hawa ni wepesi mno wa kufanya U-turn....sasa hivi wanajipanga namna ya kuanza kumpamba mama " wataaamza "nani kama Mama Samia bwaana?"Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).
Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
Kwani walimuunga mkono mwendazake au juhudi zake? Kwani aliyofanya yametoweka naye? Ukijibu maswali haya, utaona kuwa huna haja ya kuleta uzi huu.Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).
Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
wafukuzwe , hawana nafasi maana waliye muona mungu mtu , Mungu wa kweli kampenda zaidi.Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).
Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
atumie na ile kitu ya kisimiri.Taarifa kutoka kitongoji cha Imbaseni,yule muunga mkono juhudi kwa stahili ya kipekee anakunywa Konyagi kwa mwendo wa mwendo kasi.
Ndoa yake na maisha yake ni kitendawili cha aina yake,wenye chama chao hawamtaki wala hawana habari nae.
Ni hayo tu kwa leo mkisikia mtu hatunae wala msishangae.
wamechanganyikiwa kama waliopanda mnara wa babeli.Utawala uliofitinika!
Yule lazima tumnyoosheMusiba yuko hoi bin taaban anatamani siku zirejee nyuma.