Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.

Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).

Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
 
Warumi 14:8
[8]Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.

ALIKUA RAIS LAKINI HAKUA MALI YETU,YEYE BADO NI MALI YA BWANA
 
Back
Top Bottom