Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Ninachokiona hapa JK amerudi tena Ikulu
Hana lolote huyo anasubiri tu naye arobaini yake. Miaka mitano nje ya ulingo urudi. Hivi mnafikiri walio na ofisi sasa wataziachia kirahisi rahisi tu kwa vile JPM katutoka., basi watakuwa mafala kweli kweli.