Walinunuliwa.Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli.
Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).
Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
Au kusema akazikwe naeBado mpaka muda huu,sijasikia muunga mkono juhudi mmoja akibwaga manyanga (kujiuzulu) kwasababu aliyemuunga mkono katangulia mbele ya haki.
Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli. Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM). Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
Karudiana na yule bwana wake wa kizungu aliyempangishia kule MasakiMusiba yuko hoi bin taaban anatamani siku zirejee nyuma.
Alipewa ndefu nasikia kuikqna ukawa na EL akachota kidunchu akaenda Rwanda kula nchi walivyochukua madaraka wakasafisha account yake kurudi kakuta inasoma 0 alilalamika jiwe akampoza!ila watoto wa mjini wakaipiga. Nasikia Iliku b+Prof. Lipumba sijui aliwahi kupokea malipo yake kwa kazi ya kuuwa upinzani!
Paschal mapema ameshapiga U-turn.Bila kumsahau Paschal Mayala wa humu JF
Alipewa ndefu nasikia kuikqna ukawa na EL akachota kidunchu akaenda Rwanda kula nchi walivyochukua madaraka wakasafisha account yake kurudi kakuta inasoma 0 alilalamika jiwe akampoza!ila watoto wa mjini wakaipiga. Nasikia Iliku b+