Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dr Magufuli.

Bahati mbaya Mungu kamchukua Dr Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini (CCM).

Sikuwahi hata mara moja kuwasikia wakiunga mkono sera nzuri za CCM kwa maana ya chama cha siasa waliunga mkono juhudi za mtu.
Futa kauli yako ya kusema,,nakunukuu `Bahati mbaya Mungu kamchukua Dr Magufuli...Hivi unauhakika kuwa hakuwa wakuchukuliwa na mungu? Unamaanisha yeye hakuwa kwenye orodha ya kati ya wafu? naomba nijibu.
 
Ninaowashangaa ni Majaliwa, Chalamila na yule balozi wetu Namibia. Hivi hawa watu, hakuna namna ya kuwashtaki kwa kulidanganya Taifa?

Ugonjwa na kifo, tunaishi navyo. Hakuna anayeweza kujitutumua kuwa yu mzima kwa vile ni mwerevu zaidi. Ugonjwa na kifo havina jemedari, havina tajiri wala maskini, kapuku au mwenye cheo. Kama ndivyo, kwa nini watudanganye?

Nina hakika, watanzania wangeambiwa ukweli, hata kama pengine wasingebadilisha chochote, kila mmoja angefanya kile ambacho anaamini kingemsaidia marehemu. Na sisi wapiga kelele huku JF, tungetoa mawazo yetu. Baadhi ya watu, hasa waliopo au waliokuwepo kwenye nafasi za juu za Serikali wangepata nafasi ya kumwona, na pengine kutoa ushauri.

Mimi nashangaa sana - kumbe Rais alikuwa anajulikana ana tatizo la moyo, kwa nini hakukufanyika jitihada kubwa za kumlinda (hata kama alikuwa hataki)?. Wasaidizi wake wamepoteza maisha au kuugua, kwa nini hakukuwa na jitihada za kumweka kwenye matibabu hata kama alikuwa haumwi? Alipougua, wakati inajulikana matibabu yake ya moyo alipatiwa Ujerumani ambako walimwekea kifaa cha kumsaidia, kwa nini hakukufanyika jitihada za kumpeleka huko alikopewa huduma hiyo? Au wote walipigwa na upofu ili mapenzi ya Mungubyatimie?

Muda unaenda kasi, na kizazi kinapita. Tangu mwakajana mpaka sasa, tumepoteza wapendwa wetu wengi sana. Wenye majina makubwa wanatajwa na kufahamika, huku chini ni kuzikana tu kimya kimya. Huko juu, nako idadi si haba. Chinibya mwaka mmoja, tumewapoteza:

1. Waziri wa Mambo ya nchi za nje

2. Rais Mstaafu

3. Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

4. Katibu Mkuu Kiongozi

5. Rais akiwa anahudumu ofisi

4. Wabunge, nadhani 4

5. Wahadhiri wasiopungua 5

6. Wanajeshi wastaafu wa vyeo vya juu wasiopungia 5

7. Mawaziri na wakuu wabmikoa wastaafu wasiopungua 4

8. Mapadre wasiopungua 25 (tena hao ni kuanzia mwezi January tu)

9. Mabilionea wawili

Idadi ni ndefu, na inaendelea. Serikali ifanye tathmini. Ichukue hatua madhubuti hasa. Nchi tulizokuwa tukizichaka kwa kuchukua tahadhari kali dhidi ya corona, hawajashuhudia haya ya kwetu.

Tunaweza kukana kwa ushabiki, lakini kwa hakika, Tanzania, ukiondoa South Africa, tunaongoza kwa vifo vinavyotokana na corona. Hatupimi ili kujipa matumaini ambayo hayapo.
 
Hao ni wake wenye majina ujija huku kwetu mtaani na jwenye masirikanya uma huko serikalini ni idadi kubwa sana .nashani hivyo . Mtanirekebisha.
 
Kwa staili hii nchi itaparanganyika mark my words. Binadamu si mnyama ana akili, they will stand up and defend themselves kumbuka hawa nao wana watu nyuma yao. Just a matter of mobilizing them na walikuwa jikoni wanajua siri ya mtungi.
Acha kuchochea chuki.

Swali la kawaida kabisa unataka kuzusha vita!!
 
Futa kauli yako ya kusema,,nakunukuu `Bahati mbaya Mungu kamchukua Dr Magufuli...Hivi unauhakika kuwa hakuwa wakuchukuliwa na mungu? Unamaanisha yeye hakuwa kwenye orodha ya kati ya wafu? naomba nijibu.
Bahati mbaya kwa waliokuwa wanafaidi mema ya nchi. Bahati nzuri kwa wanaomtanguliza Mungu mbele.Inategemea wewe upo kundi gani au mfumo / utawala huu umekufaidisha kiasi gani.
 
Back
Top Bottom