Bila kumsahau Paschal Mayala wa humu JFWafuatao sijui watajisikiaje muda huu,walikuwa wakisubiri teuzi.
1. Dr Mashinji
2. Joshua Nasari
Kuna watu watapitia kipindi cha mpito kigumu, maana hawakuwahi kutegemea kwamba hili linaweza kutokea!!
Wameachiwa manyoya...
Everyday is Saturday............................... 😎
Kama naye hatotaka, tutapeleka kilio na mashitaka yetu kwa Mungu. Halafu Mungu atafanya yake.Mama samia aweke mariziano lisu arudi nyumbani kwake visasi viishe inchi irudi kama zamani na asimamie aliyokuwa anayahitaji Rais Magufuli.
Hapo mwisho umeharibu,kila kitu alichokiasisi huyu Sadist bila ridhaa ya Bunge vyote vinatakiwa vife haraka sana.Mama samia aweke mariziano lisu arudi nyumbani kwake visasi viishe inchi irudi kama zamani na asimamie aliyokuwa anayahitaji Rais Magufuli.
Daladala zimemaliza mgomo?Sijachangia chochote
Marehemu alimeza uchawiIla tumesoota na huyu marehemu!
Waliharibu kotekote Yani,kwa sasa mbereko haipo lazima warudi mtaani tuWafuatao sijui watajisikiaje muda huu,walikuwa wakisubiri teuzi.
1. Dr Mashinji
2. Joshua Nasari
Ninachokiona hapa JK amerudi tena IkuluKwa staili hii nchi itaparanganyika mark my words. Binadamu si mnyama ana akili, they will stand up and defend themselves kumbuka hawa nao wana watu nyuma yao. Just a matter of mobilizing them na walikuwa jikoni wanajua siri ya mtungi.