Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Sioni shida wanavofanya
Shida ni kwa nini kwenye maigizo yao wanashindwa ku cover identity zao mpaka tukawatambua wanafanya makosa madogo madogo ambayo yanatoa hint kwa civilian
Maana yake ni kwamba, kwenye utendaji wao haqazingatii weledi bali maagizo
 
Hakuna mwana Idara hapo..

Alafu kingine sijui nani aliyewaaminisha kuwa mtu asie na NDEVU ni Askari.. mtakuja kuumia vby sana.
 
Hakuna hoja ya kujadili hapa
Hata mimi napata tabu sana kuitafuta na kuipata.

Watu wanakimbilia hoja za kuunga unga wakati Samia hana umasikini wa scandal.

Hili linaonesha udhaifu wa wanaomsema tu.
 
Hakuna mwana Idara hapo..

Alafu kingine sijui nani aliyewaaminisha kuwa mtu asie na NDEVU ni Askari.. mtakuja kuumia vby sana.
Mkuu,

Hata mimi nimejiuliza sana, tunahakikishaje kuwa hawa si wauza madafu wa kawaida tu walioalikwa Ikulu kuuza madafu na rais wao mpenda madafu akaona vizuri kupiga nao picha?
 
Kabisa nakuunga mkono mkuu
kabisa nakuunga mkono mkuu
 
Kwanza kabisa, hakuna uthibitisho wowote kwamba hao si wauza madafu wa kawaida tu.

Mpaka sasa maneno kwamba hao si wauza madafu wa kawaida hayana uthibitisho.
 
Tanzania tumekuwa tukizitaja kwa kejeli pesa zetu kuwa ni "pesa za madafu" kwa maana ya kwamba hazina nguvu kwenye uchumi mkubwa wa kinataifa zaidi ya kununua vitu kama madafu.

Naona siku hizi tumejiongeza kutoka "pesa za madafu" mpaka "siasa za madafu".

Yani siasa fulani hivi za kuacha mambo ya kimantiki, yanayoweza kuthibitika, na kukimbilia maneno ya kuungaunga mitandaoni tu.
 
Watanzania wengi sana wanapenda sana conspiracy theories.

Ukiwa na conspiracy theory wape picha na prompt tu, wao wataungaunga maneno ya kujaza vitabu.

Mara nyingi bika hata kuihoji hiyo conspiracy theory.

Kwa watu wanaooenda "siasa za madafu", hii ni environment nzuri sana ya kufanya siasa hizo.
 
Hakuna mwana Idara hapo..

Alafu kingine sijui nani aliyewaaminisha kuwa mtu asie na NDEVU ni Askari.. mtakuja kuumia vby sana.
Kwa nini unakuwa na uhakika hivyo au wewe ndio upo idarani na hujawaona? Nikuhakikishie hata idarani siyo wote wanajuana
 
....Jiwe ndiyo alikuwa Kiboko kwa kuigiza sinema, anakunywa kahawa kule ferry na wana harafu kuna sehemu anachukua hindi lililochomwa uraiani na kula😀😀
Sasa cha ajabu ni nini bro kwani ukishatawazwa kuwa Rais unageuka kuwa malaika? au hawajawahi kuishi maisha hayo?
Na kwanini hii nongwa iwe kwa maRais wa tanzania tu wakati viongozi wa mataifa ya nje pia huyafanya mambo kama haya?
 
Wengi walisme usalama

Kumbe dogo msomi wa nit coz logistics
Kabisa
Hata sisi Chuoni kuna jamaa alikuwa hamalizi chuo.....baada ya miaka kadhaa nikamkuta tena Iringa yupo chuo.....duuh....siku ya siku namkuta kumbe ni ngelewee kavaa suti yupo kwenye msafara wa waziri mkuu....mamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…