Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mkuuKinachompa Ugumu Samia kwenye siasa za Bongo ni hayo mambo,yey Kwa Asili sio wa hivyo
Mkuu wote waliopo humu jf una uhakika gani hawahusiki na haya mambo!!!!Labda Mimi ndio sielewi mtu anaposema yale ni maigizo. Hao jamaa kama ni kweli wanaigiza kuuza madafu basi maana yake wapo hapo Kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama ikiwa na maana kwamba wapo kuwazuga waalikwa na sio sisi wa mtandaoni.
Inawezekana ni tafsiri zetu sisi mashabiki kwamba ionekane na wauza madafu wanyonge nao wamealikwa kumbe waliowaweka hapo wamewaweka Kwa shughuli za kiusalama kukusanya taarifa tu. Mtu anasema maigizo mengi Sasa wewe umejuaje kama ni maigizo wakati hauhusiki na Wala hujui mambo yanavyoenda!!