Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Ujumbe: Mkome kuwadharau wauza madafu🤣😅😅
 
Labda Mimi ndio sielewi mtu anaposema yale ni maigizo. Hao jamaa kama ni kweli wanaigiza kuuza madafu basi maana yake wapo hapo Kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama ikiwa na maana kwamba wapo kuwazuga waalikwa na sio sisi wa mtandaoni.
Inawezekana ni tafsiri zetu sisi mashabiki kwamba ionekane na wauza madafu wanyonge nao wamealikwa kumbe waliowaweka hapo wamewaweka Kwa shughuli za kiusalama kukusanya taarifa tu. Mtu anasema maigizo mengi Sasa wewe umejuaje kama ni maigizo wakati hauhusiki na Wala hujui mambo yanavyoenda!!
Mkuu wote waliopo humu jf una uhakika gani hawahusiki na haya mambo!!!!

Swali ni je kuna umuhimu gani mtu mmojakushika nafasi mbili kwenye igizo moja😁😁,inaondoa ladha ya mchezo.

Kama muuza madafu ni sangija maduhu,basi abakie na chaka lake la madafu,tukimkuta anachunga mbuzi tukio jingine unakuwa ni upuuzi,linakuwa igizo lisilo na maana ila kwao na kwetu pia.
 
Back
Top Bottom